Kongosho asali ya ODM....

Mwali, Don't you have me, your uncle? You can save me tea....that will keep u busy enough...okay?
Thank you Uncle... Shakmoo and karibu chai na cake

Tea pot and cakes.jpg
 
Hongera kwa engagement...
Hiyo chai ni part of Uncle's perfect day... lazima apate chai, laa sivyo siku nzima itaharibika!
Na babuyo umenandalia nini? Si wajua mie napenda vya vuguvugu?
 
husband naja



Kongosho dear.... Karibu saana kwenye familia yetu... Ni bahati ilioje kumpata mke mwenza kama wewe... najua nitapata mengi kwako; Ila tu nina swali; huyu shem wangu ODM kisha kuahabarisha habari za Zion D? if yes then no Problemo.... Tutakuandalia na sherehe ya wamama peke yao tukupe umbea wote wa familia.:tongue:
 
Thank you Uncle... Shakmoo and karibu chai na cake

Tea%20pot%20and%20cakes.jpg



Mwali my mwali.... ankal wako asifia kweli chai unayompa.... ila nasikia umeanza tabia mbaya! Unachelewesha kudeliver hivo kumfanya aanywe haraka saana au kuikosa kabisa! Umeanza tabia gani mbaya? Au bado Ivuga anakuja nyumbani kukutembelea wakati hujamaliza chai? umeniudhi saana, Husny mwenzio sijapata lawama hata moja!
 
Darling shem hii ni habari njema... Ila tu nina wasi kama mke mwenzangu kafikishiwa hii habari maana hua twashare kila kitu, Au hizi sikumbili ambazo nilienda spar ndio habari hii umempa?
Darling shem, hili ni fukuto la valentine. Hutokea ghafla bin vuum. Ntahitaji ushirikiano wako hasa kwenye maakuli.
 
Darling shem, hili ni fukuto la valentine. Hutokea ghafla bin vuum. Ntahitaji ushirikiano wako hasa kwenye maakuli.



You know how love people in love.... and you know I love my family too..... Shem jibu swali, I like Kongosho really really lakini nataka akija akute home ni mahala pa amani kwamba hajapotea njia.
 
Back
Top Bottom