Kongamano La Wanataaluma Katika Baadhi ya Picha

Mwanataaluma Mdini;


Sina uhakika kama kujua kama mtu ni Mwislamu au Mkristu unaangalia Majina au unaangalia nini. Binafsi Jinalangu kamili ni SANCTUS ABDUL SALIM MTSIMBE. Je, mimi ni dini gani?


TPN haifungamani na dini yoyote. Mialiko yote iliyotolewa katika Kongamano lililopita ilikuwa ni Public na wala hatukuweka vigezo vya dini. Hakuna yeyote aliyekuja aliulizwa ni dini gani na wala yeye hakuuliza habali za dini.

Ila kama unapenda kwa kuangalia majina yenye mweleko wa kiislamu tu (ingawa si kithibitisho cha dini) kuna ambao binafsi wanawakumbuka niliwaona maana hili Kongamano lilikuwa na watu wengi. walikuwepo wanataaluma kama:

Ms. Tatu Juma Mikidadi; Hassan Mshinda; Hulda Shaidi Swai; Ali N. Kanji; G. Sundaramal; Salum Awadh; Said M. Swaleh "SASS"; Zainab A. Mohamed. nk.
 
we kweli mdini hasa, acha hizo humu jamvini, kama hawajitokezi wavutwe shati?
 
we kweli mdini hasa, acha hizo humu jamvini, kama hawajitokezi wavutwe shati?

Mzalendo Omumura;


Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:

Haki ya Uhuru wa Mawazo


Uhuru wa Maoni Sheria ya 1984 Na.15 ib.6


18 .-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

Tumpe haki yake ya Kikatiba. Au una maoni gani?
 
Back
Top Bottom