Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini inachuja, ikaja uhaini na sasa pamoja na kushinda eti kwa kishindo wamevunja secraterieti yao wenyewe jiulize mwanakijiji, kweli walishinda? na kama walidangaya je kwa nini tuyaaamini maadai hayo yote juu CDM?
More update pls>>>>>>>

Umenikuna kisawasawa na maneno yako mazito!
 
Tupo pamoja MH REGIA asanteni sana watanzania wenzetu kwa kutuanzia na kutuendelezea hili vuguvugu la ukombozi. Binafsi nimefurai sana kwa kuanza kuwekeza kwa wasomi wetu kwa fursa za namna tukizitumia vizuri ukombozi umenukia.
 
Hivi sasa Kamanda Mbowe ndio anafungua mkutano.

Wabunge walioko ni
1.Mbowe
2.Mnyika
3.Lema
4.Wenje
5.Msigwa
6.Silinde
7.Prof Kahigi
8.Joseph Selasini
9.Esta
10.Naomi
11.Chiku
12.Raya
13.Sabreena
14.Kiwanga
15.Kiwelu
16.Christowaja
17.Christina
18.Pauline
19Mrusha sredi

Simuoni "mpambanaji" Zitto
 
kwa kazi tuliyoifanya dodoma this week kweli watanzania wameamka kwani vyuo vina watu kutoka kila pande ya tz,ila bado kuna wasomi ambao hawajaelimika kwa kuogopa ccm.mungu bariki udom
 
Back
Top Bottom