Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Hadi kieleweke
Mjinga siku zote moyoni mwake amejaza ujinga,mawazo yake niya kijinga na hivyo hata akitamka hutamka ujinga,jamii yako inahasara mana ujinga kama wako unaweza ukaona fahari kutoa ushuzi kwenye mkusanyiko wa watu.Wekeni na mada hii Mkutano mwingine mkiandaa: Umhimu wa Wasomi wa Vyuo Vikuu kupata mbinu za kitaalamu katika Kuzomea!
dada mtena
hili swala la zitto kutokuwepo kweli ni serious matter.. We want to know pleazzzzz
naomba utujibu
hizi dalili za ZITTO ndo zile zile za SHITAMBALAhakuna kumjibia zitto atajijibia mwenyewe kwani kutokuwepo ni dhambi?
Wakuu.Habari za Jumapili.
Leo tena tunaendelea na harakati zetu za kujipenyeza na kuwekeza kwa Vijana wa Vyuo Vikuu.Vijana wa CHADEMA Dodoma wameandaa Kongamano kubwa la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma mabalo linaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa African Dream Area D. Mada Kuu katika Kongamano hili ni Vijana Wasomi na Mustakabali wa Taifa.Watoa mada ni Wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Kamanda Freeman Mbowe-Kiongozi wa Upinzani Bungeni(KUB).
Ukumbi umeshajaa na hivi sasa tupo tunasikiliza the Best Speech ya Martin Luther King tukiwa tunamsubiri Mgeni rasmi afungue mkutano.
Picha za Matukio mtazipata tukiwa tunaendelea.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira.
Mlengokati, live haimaanishi tukio kuwa kwenye TV au redioni!!! LOL.... Live ni kushuhudia tukio linatokea, mfano ukiwa pembeni mwa barabara na ajali ikatokea na ukaiona basi utakuwa umeioa live, sasa wakati tukio linaendelea unaweza kuwashirikisha rafiki zako kwa simu au video message na wao sasa watasikiliza au kuliona hilo tukio live. Hapo vipi?? LOL
wana hadija kopa, na kapt. komba... bila kumsahau makamba... ni viuno tu hadi kwenye katiba!!!sisi tunawekeza kwenye wasomi wao kwenye
DADA MTENA
hili swala la ZITTO kutokuwepo kweli ni serious matter.. we want to know pleazzzzz
naomba utujibu
kamua mwanangu... kamua mpaka kieleweke, wao wanaweka TOT plus na masanja CHADEMA wanaweka hotuba za Martin Luther King and then wanadhani wako level moja
wafundisheni hao CCM kwamba quality and standards are never compromised
Nimefurahi sana aisee, I wish ningekua ukumbini
Wewe zuzu kweli umekariri habari kuwa Live lazima irushwe kwenye TV au Redio, lakini si kosa lako ni product ya shule za kata.
we acha tu... I am sure this was an excellent move by CHADEMA, what remains now is to sustain this wave ya knowledge and awareness ili watanzania wajifunze kwa kupitia vijana wa vyuoWe si umenikimbia?tena hata hujaniaga.Umemiss mambo matamu ile mbaya.Vijana wana ari nzuri sana natamani kama Uchaguzi Mkuu uwe kesho.
Hivi sasa Kamanda Mbowe ndio anafungua mkutano.
Wabunge walioko ni
1.Mbowe
2.Mnyika
3.Lema
4.Wenje
5.Msigwa
6.Silinde
7.Prof Kahigi
8.Joseph Selasini
9.Esta
10.Naomi
11.Chiku
12.Raya
13.Sabreena
14.Kiwanga
15.Kiwelu
16.Christowaja
17.Christina
18.Pauline
19Mrusha sredi
Who cares, upepo ukivuma magugu hujitenga yenyewe na ngano.hizi dalili za ZITTO ndo zile zile za SHITAMBALA