Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
imebidi nicheke maana huyu kwa udhuru hajambo
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
acha kumhukumu coz hata slaa hayupo
Asante kwa Taarifa. Lakini umenishangaza kitu kimoja, kutaja strategy hadharani na huku ukijua fika kuna upinzani. Ilikuwa inatosha kusema tunakutana na vijana wa DOM na si kueleza kirefu kuwa ni mkakati wa kujitanua kwa vijana. Strategy huwa haitajwi wazi hivyo, maana ni kuwaambia watu mnafanya nini ambao ni washindani baadae na wao wanaiba strategy hiyo wanaiboresha kisha mnashindwa kufanikiwa. Ni mangapi mlikuwa mnayaanzisha CCM wanayabeba na kuyatumia kufanikiwa na kuwaacha nyie mkilalalama ohh ilikuwa yetu ile!!!!

hili wala sio jambo la kuficha.Hata humu tulipo wapo baadhi ya wanafunzi ambao ni CCM na wamekuja kujua kunani.Hatujaanza jana kudeal na vyuo vikuu kila chama kinatambua hili.Usiogope
Mbowe ameshamaliza na ikafuata na mada kama ratiba inavyoonyesha.
Mada zimegawanyika katika sehemu tatu.
1. Wasomi Vyuo Vikuu Dodoma na Mustakabali wa Taifa ambayo na yenyewe imegawanyika katika sehemu tatu- 1. Siasa,Uzalendo na Maendeleo iliyotolewa na Godbless Lema 2. Dodoma.Kituo muhimu cha Ukombozi wa Tanzania inayotolewa na Christina Lissu hivi sasa. 3. Rasimali za taifa,fursa na Vikwazo itakayotolewa na Wenje.
2. CHADEMA na Mustakabali wa Taifa na yenyewe imegawanyika katika sehemu tatu-1. Uanachama,Falsafa na Itikadi itakayotolewa na Estther Matiko 2. BAVICHA,Nguvu ya Mabadiliko itakayotolewa na Regia Mtema 3. Kuelekea Uchaguzi wa Mitaa 2014 na Uchaguzi Mkuu 2015 itakayotolewa na Susan Kiwanga
3. Katiba Mpya na Mustakabali wa Taifa itakayotolewa na John Mnyika.
Sasa hivi Wenje ndio anatoa mada yake.
Yupo anamsaidia Mkiti wake mtarajiwa ku handle crisis ya CC kujiuzulu. Wanashirikiana na rafiki yake R1
Una amanisha nini kusema Live! Inarusha na kituo cha TV? Au Radio?
Dr Slaa siyo mbunge, acha kulitaja bure jina la .....
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
Wewe zuzu kweli umekariri habari kuwa Live lazima irushwe kwenye TV au Redio, lakini si kosa lako ni product ya shule za kata.Una amanisha nini kusema Live! Inarusha na kituo cha TV? Au Radio?
sisi tunawekeza kwenye wasomi wao kwenye
Aaaa dada Regia....unanipandisha stimu mwenzio!....utanifanya nipande ndege sasahivi ili nijeMada ya Kuu ya kwanza imeisha na hivi sasa ni wakati wa majadiliano.Aisee Vijana wanatoa hoja nzito nzito.Hamasa ni kubwa sana hapa.
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
Nimekugongea senksi mkuu LAT !not really neccessary...twende kazi