Jicholangu
New Member
- Sep 23, 2010
- 2
- 0
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.
Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete