Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
vizuri kuoa
Mbona ana uso wa majonzi? Kalazimishwa?Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
Mchezaji yeyote akitoka arsenal basi ndo mwisho wake ujue umefika ni nani aliyetoka arsenal na bado akaendelea kuwika? nasri hayupo kwa mipango ya mancini kashaambiwa na sasa anataka kuondoka mcfc, fabregas kaenda barca barca imeanza pata gundu la kukosa vikombe, clichy atleast anacheza mara kadhaa mcfc lakini ndo kashapoteza jina alilojenga arsenal.
Nimefurahi hajaoa mzungu.................