Kolo Toure akamata JIKO

Mchezaji yeyote akitoka arsenal basi ndo mwisho wake ujue umefika ni nani aliyetoka arsenal na bado akaendelea kuwika? nasri hayupo kwa mipango ya mancini kashaambiwa na sasa anataka kuondoka mcfc, fabregas kaenda barca barca imeanza pata gundu la kukosa vikombe, clichy atleast anacheza mara kadhaa mcfc lakini ndo kashapoteza jina alilojenga arsenal.

Kaka hapo Asenali hakuna tija, wachezaji wanataka mataji, ona Henry aliona atafikia kustaaf bila CL Tittle, huyoo kaenda zake Barca akainua ndoo akaenda zake States kula bata, the same to Clich na Nasr wangepata lini taji la EPL? RIGHT decision kwao na Cess naye kabeba copa de la rey kule Spain, mwanzo mzuri, wenga bado anatengeneza timu, mjiandae kwa goli 16 msimu huu kutoka kwa akina SHINJI KAGAWA!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom