Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari