Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi kanga.
Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo PAC walitoa majibu bungeni kuwa ilikuwa ni ishu ya mahesabu tu.
Chadema na CCM mafisadi mlishafeli ibieni watanzania lakini hamuwezi kupotosha umma. Ipo siku huo wizi wenu utakoma.