Kocha wa Simba, Benchikha Kama anataka atoboe Asikubali kufanya kazi na Cadena kocha wa makipa. Amuulize Kali Ongala

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu makipa na kuwachosha. Toka aje simba makipa wanachoka siku baada ya siku.

Alipokuwa Azam bwana akampiga majungu kocha mkuu. Timu haikufundishika. Timu akaachiwa Ongala. Akashinda mechi 10 kati ya 11. Akaanza majungu wapi? Tff iliposema Ongala hana vyeti akapewa timu. Ila kali awe mwalimu. Hakukubali, akawa front line. Acha timu idundwe.

Anaamimi mazoezi magumu kama timu za Jeshi.
 
Kama ana mazoezi magumu huyu atafaa sana asaidiane na kocha mpya wa viungo. Ni wakati sasa kuwapeleka wachezaji kijeshijeshi, asiyeweza asepe. Nisichompendea ni ile style yake ya kile kidonda usoni inatia kinyaa sana.
 
Back
Top Bottom