KLM kushindwa kuja Tanganyika

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,088
20,477
KLM just canceled their first flight to Kilimanjaro and Dar Es Salaam on July 4th 2020.
Not enough bookings.

Pole sana. There is also a negative travel advice from the Netherlands to countries outside Europe.
After returning people need to go into quarantine for two weeks of which they don't want and its costful.
This is bad news for Tanzania also.

Nobody likes to go into quarantine after a holiday and also their employers won't be pleased.

cc:Magufuli & MATAGA
 
Muda mwingine tuache kuishi kama wachawi, mimi nachukia ccm damu, ila maisha ya kawaida lazima yaendelee kuweka siasa kila sehemu tunaoathirika ni sisi wananchi wa kawaida, huyo Magu anaishi maisha mazuri ikulu, ila zinazoathirika ni biashara zetu huku chini, biashara na shuhuli zetu hazina vyama vya siasa, kwa namna yoyote inapotokea kama hivo flights zimezuiwa sioni jambo la kufurahia hapo, kwasababu mwisho wa siku anaetharika pakubwa anajulikana.

Siasa ni upuzi tu, kila mtu anaangalia maslahi yake huko bungeni.
Ushauri wangu boresha/pambana na ustawi wa maisha yako mwenyewe kwa juhudi zako, kama ni mpiga siasa endelea na siasa maana ndio kazi za wengine.
 
Yes, we have prepared and invested!
Mind you, Kigwa na msafara wake walikwenda KIA kupokea ndege yenye watu 10, kati ya hao 8 ni watanzania waliokuwa wamekwama ulaya na 2 ni wazungu madalali wa utalii
.."its coastful..." Ha ha ha, Yaani bado tu huoni?
 
Ina maana wale watalii tulioambiwa wameshafanya booking hadi August na ndege zote zimejaa wameahirisha safari zao?

Hawa KLM ni wahujumu uchumi wenye nia mbaya na nchi yetu. Jamhuri iwapige ban kuja nchini hadi wajirekebishe tabia zao
 
Sijawahi ona Mchaga low IQ kama wewe, KLM inatua Mkoa wa Kilimanjaro na kuboost Uchumi wa huko, halafu unapiga ramli kushangilia kwamba isije? Wewe una akili timamu kweli? Wachaga wenzako kibao wameajiriwa na wengi wanategemea Utalii pmj na Bosi wako Mbowe, halafu unashangilia?

Low IQ!
 
Tuna bahati hata kwa wao kuplan route ya Africa.Nimeangalia routes watakazoanza giants airlines za Uarabuni hakuna hata ruti moja ya Africa kuondoa SA.
 
Wapo wengi wanataka kuja ila wakirudi kwao wanawekwa karantini siku 14, ndio wamekatisha safari, tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini
Wajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.

Wamesahau suala zima la covid19 tumekikoroga mno. Nani aje hapa ili akawekwe karantini kwao?

Uwezekano wa kubeba virusi ni 100% kwa Tanzania.
Utalii unaenda kufa.
 
Baadhi ya nchi zinalalamika kuhusu karantini ya siku 14 maana itavunja uchumi katika sekta ya utalii. Maybe baadae mambo yatabadilika
 
Wajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.
Wamesahau suala zima la covid19 tumekikoroga mno. Nani aje hapa ili akawekwe karantini kwao?
Uwezekano wa kubeba virusi ni 100% kwa Tanzania.
Utalii unaenda kufa.
Utakufa kwa upumbavu wa wachache, si wote, na hata ukiangalia UNDP wana predict kuanzia december ndio utalii utaanza tena
 
Wajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.
Wamesahau suala zima la covid19 tumekikoroga mno. Nani aje hapa ili akawekwe karantini kwao?
Uwezekano wa kubeba virusi ni 100% kwa Tanzania.
Utalii unaenda kufa.
Acha ufe!
 
Acha ufe!
Tunauhitaji ila si kwa ushamba huu, lakini hata ukija wanafaidi wachache, hebu niambie JIWE anachukua milioni 10 anagawa barabarani Cash, fedha za watanzania wote, its unfair, haisemwi imetoka wapi?
Wakina pole[ole ndio hizo hela wanafanyia manununzi wa wapinzani
 
Kma hawa KLM. wamezingua basi CONDOR airline italeta abiria pale KIA
 
Back
Top Bottom