Kliniki ya nguvu za kiume hii hapa

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,835
18,249
DAR IVF & FERTILITY CLINIC
***************
Hili tangazo nimeliona leo maeneo ya Kawe jijini Dar es Salaam. Hii kliniki ni maalum kwa wale watu wenye upungufu wa nguvu za kiume. Kumbe kuna kliniki ya nguvu za kiume hapa halafu watu tunateseka kwenda kwa Kalumanzira kudaiwa pesa lukuki na kuku wa kijani? Siwezi kukubali tena kunyanyaswa na sangoma wakati kuna kliniki ya kutibu nguvu za kiume ya kisasa.

Kama kuna mdau humu aliyewahi kutibiwa kwenye kliniki hii tafadhali tunaomba atupe uzoefu. Je, bei zao zikoje? Na je, mgonjwa anaweza kufanyiwa kipimo cha IVF kwa kutumia mbegu za mtu asiyekuwa mkewe/ mumewe (mchepuko, etc)?
 
Tupe namba ya simu ya hiyo clinic
 
Hizo clinic utazikuta huko mnakojifanya mnakula chipsi mayai kama mlo, huku tunakokula dona na supu ya sato huwezi kutana na clinic kama hiyo.
 
Kula dona ..kula mbogamboga ..kula pweza ..kula mlonge ..kula matunda ..kula vitu vya asili achana na chips..kula mihogoo ndo dawa ya nguvu za kiumee ..msos wa asili
 
Back
Top Bottom