KKKT na babu Loliondo wanang'ang'aniana mapato ya tiba

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
IMEBAINIKA KWAMBA ASKOFU THOMAS LAIZER AMEMTAKA MCH AMBILIKILE MWASAPILE ATOE HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI ILI WAWEZE KUJUA NI KIASI GANI KIMEPATIKANA BAADA YA KUBAINIKA KUWA ZAIDI YA WATU 6,000,000 WAMESHAPATA TIBA HIYO SAWA NA MAPATO YA TSHS.3,000,000,000/= KWA WATANZANIA TU .HUKU FEDHA ZA RAIA WA KIGENI WALIOKUWA WANATOA DOLA MOJA ZIKIWA ZIMEFICHWA.
MCH. AMBILIKILE AMEGOMA KUTOA FEDHA HIZO KWA MAELEZO KUWA MUNGU HAJAMUELEKEZA KUFANYA HIVYO NA KUWATAKA KKKT WASUBILI MAONO MENGINE KWA AJILI YA MATUMIZI HAYO.

WASAIDIZI WA BABU WAMEMSHAULI BABU KUWA ASITOE FEDHA HIZO NA KUTAKA HUDUMA HIYO IJITENGE NA KANISA KWANI HAKUNA MSAADA WANAOPATA KUTOKA KKKT.

WASAIDIZI HAO WANAWALAUMU VIGOGO WENGI SERIKALI , AKIWEMO LOWASA KWENDA KUNYWA DAWA NA KUACHA KUCHANGIA HATA SENTI.

ASKOFU LAIZER INADAIWA ANATAKA MGAWO KUTOKA KWENYE MAPATO HAYO BAADA YA KUITANGAZA HUDUMA KWA KUTUMIA MGONGO WA KKKT NA KUSABABISHA HAJI MPONDA KUKWAMA KUIZUIA.

WATU WA KARIBU NA HUDUMA HIYO WANADAI KWAMBA WATEJA WAMEPUNGUA NA BABU KAREJEA KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA UJENZI WA NYUMBA JAMBO LINALO ZUA UTATA WA MAPATO AMBAYO YAMEHIFADHIWA KWENYE VIROBA.

HAPO MWANZO ASKOF LAIZER ALITANGAZA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA HIYO LAKINI SASA WATU WAMEPUNGUA KWA SABABU HAKUNA ALIYE PONA UKIMWI NA WENGI WAME KUFA GHAFLA BAADA YA KUNYWA KIKOMBE.:A S 103::dance::smow:
 
Askofu laizer alitangaza kumurejesha babu kika kazi yake ya uchungaji , na kuahidi kuwa kanisa litajenga jengo kubwa na kuahidi kuwa kanisa limetoa 150m sasa nini kimetokea ????
 
Tiba imepoteza mwelekeo sasa wadau wanataka kufunga maheasabu , mungu wao bado hajatoa mgawanyo!!!!
 
Chanzo cha habari tafadhali!
Babu ni mfanyabiasha mahiri, hawezi kuwa dumb kiasi cha kuweka 3bn kwenye viloba, kwani anauza dawa za k ulevya?
Ngoja nimtwangie sm asiwape hata senti, hizo pesa ss tayari tunampango mzuri wa uwekezeji!
 
Tulipowaambia kuwa huu ni muhuri wa MPINGA KRISTO (666) mlituona tuna wivu, hatuna Mungu, haya sasa yanaanza kujitokeza.

Kama kuna mtu alipona UKIMWI na ajitokeze hadharani. Wale waliolipiwa na chama cha wenye Ukimwi wajitokeze kutujuvya kilicho wakuta kama hawajafa wote.

Mrema ainuke tena kututangazia kama amepona kabisa pressure na kisukari.

Njia ya mwongo ni fupi na kuna msemo usemao, UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU NA UKIWA MSAHAULIFU USIWE MWONGO. Babu yenu alisema ndani ya siku saba mtu anapona ukimwi, lakini baadaye akasema siku 14, kasahau alichosema!!!!

Huyu babu ni wa kumuogopa.

Tiba imepoteza mwelekeo sasa wadau wanataka kufunga maheasabu , mungu wao bado hajatoa mgawanyo!!!!
 
IMEBAINIKA KWAMBA ASKOFU THOMAS LAIZER AMEMTAKA MCH AMBILIKILE MWASAPILE ATOE HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI ILI WAWEZE KUJUA NI KIASI GANI KIMEPATIKANA BAADA YA KUBAINIKA KUWA ZAIDI YA WATU 6,000,000 WAMESHAPATA TIBA HIYO SAWA NA MAPATO YA TSHS.3,000,000,000/= KWA WATANZANIA TU .HUKU FEDHA ZA RAIA WA KIGENI WALIOKUWA WANATOA DOLA MOJA ZIKIWA ZIMEFICHWA.
MCH. AMBILIKILE AMEGOMA KUTOA FEDHA HIZO KWA MAELEZO KUWA MUNGU HAJAMUELEKEZA KUFANYA HIVYO NA KUWATAKA KKKT WASUBILI MAONO MENGINE KWA AJILI YA MATUMIZI HAYO.

WASAIDIZI WA BABU WAMEMSHAULI BABU KUWA ASITOE FEDHA HIZO NA KUTAKA HUDUMA HIYO IJITENGE NA KANISA KWANI HAKUNA MSAADA WANAOPATA KUTOKA KKKT.

WASAIDIZI HAO WANAWALAUMU VIGOGO WENGI SERIKALI , AKIWEMO LOWASA KWENDA KUNYWA DAWA NA KUACHA KUCHANGIA HATA SENTI.

ASKOFU LAIZER INADAIWA ANATAKA MGAWO KUTOKA KWENYE MAPATO HAYO BAADA YA KUITANGAZA HUDUMA KWA KUTUMIA MGONGO WA KKKT NA KUSABABISHA HAJI MPONDA KUKWAMA KUIZUIA.

WATU WA KARIBU NA HUDUMA HIYO WANADAI KWAMBA WATEJA WAMEPUNGUA NA BABU KAREJEA KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA UJENZI WA NYUMBA JAMBO LINALO ZUA UTATA WA MAPATO AMBAYO YAMEHIFADHIWA KWENYE VIROBA.

HAPO MWANZO ASKOF LAIZER ALITANGAZA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA HIYO LAKINI SASA WATU WAMEPUNGUA KWA SABABU HAKUNA ALIYE PONA UKIMWI NA WENGI WAME KUFA GHAFLA BAADA YA KUNYWA KIKOMBE.:A S 103::dance::smow:

kibwetere business per se!!
 
Je, mnakumbuka pale nilipowambia kuwa kila mkoa utakuwa na kikombe chake? Nasema tena, kuwa kila muongo una manabii wake! :pound::smow: hebu tufikiri tena!:A S 103:
 
kudadadeki.........from now onward i have to trust no body except 4 maself......kama askofu anamezea mate mihela ya kwa babu basi hakuna kanisa hapo bali ni taasisi ya kutafuta mavumba na sio kuwatengeneza watu kiroho.

tehe..tehe...tehe......!
 
Source ya hizi taarifa tafadhali, maana Mwananchi inaripoti watu bado wanaenda. Tumwamini nani?
 
tiba imepoteza mwelekeo sasa wadau wanataka kufunga maheasabu , mungu wao bado hajatoa mgawanyo!!!!

huyolaizer anatakiwa asubiri munguamuoteshe babu anagawaje sio anakimbilia tu na kama alimfanya mtaji mungu wa kweli ataonekana
 
Wizi mtupu, hakuna alieyepona mpk sasa.... Serikiali yetu wote maboga, utaaamini vipi mtu eti kaoteshwa?????// na kama yeye kweli ameotesha masharti ya nini... kwa nini asije huku ocean road hospital kutibu wagonjwa wa cancer waliokata hata tamaa ya kuendelea kuishi????? mimi nadhani huuu ni mradi wa watu. kwani hadi leo hatujaletewa idadi yeyote ya watu waliopona wala waliokufa wakati serikali ilikuwa mstari wa mbele kuboresha miundo mbinu na kusaidia watu kwenda huko, mara wamepeleka vikombe, mara mahema, mara wamejenga vyoo..

Yaani mie sielewi Tanzania bado kuna watoto wanakaa chini mashuleni hatufanyi jitihada zozote kutatua hili tatizola lakini alivyojitokeza babu masapile nguvu zote zilipelekwa huko je hii ni haki
 
Back
Top Bottom