Nashauri tuigeuze rushwa kuwa ni chanzo halali cha mapato ndani ya taasisi (Fast Corridor)

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Feb 6, 2022
276
792
Ndugu wapendwa!

"Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza"

Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa!

Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo!

Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa kuniuliza Hivi siku watu wakiacha kutumia umeme ndugu yangu utafanya kazi gani? Nikamjibu nitafanya kazi ya kuondoa umeme uliopo majumbani ambamo kuna umeme tayari.

Nikamuuliza wewe bosi unafanya kazi gani? Akanijibu TAKUKURU! Nikamuuliza bosi wangu hivi siku rushwa ikiisha nchini kwetu utafanya kazi gani ndugu? Hajawahi kunijibu hadi leo alibakia kucheka tu!

Hivyo basi Inabidi kama taifa tubadili mbinu ya kupambana na rushwa! Siyo lazima mbinu tutakayoitumia iwe imetumika huko kwingine duniani au imeandikwa vitabuni!

Nashauri kila taasisi inayotoa huduma kwa mifumo ya kisasa ya control number! Pia kuwepo na dirisha la huduma ya haraka (fast corridors)

yaani ni hivi Mteja anapolipia huduma ya umma kwa utaratibu AWE na hiari ya kusubili kwa mujibu wa taratibu zilizopo au kama hawezi kusubiri aelekezwe dirisha la huduma ya haraka (Fast corridor or VIP corridor) ili akalipie ziada ya 45% ya malipo halisi kwa CASH palepale ofisini na apewe risiti nyingine ya huduma ya haraka!

Kwa mfano! Mtu aliyelipia huduma ya kawaida ya kusubili mwezi mzima, apewe utaratibu wa haraka ndani ya siku mbili kupitia Fast service aliyolipia!

Hili litaondoa au kupunguza kabisa rushwa! Pia Litaondoa watu wa katikati katika kupata huduma!

Hayo mapato ya ndani yataisaidia taasisi kujiendesha kwa changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza ndani ya taasisi ikiwemo matengenezo ya magari, ukarabati, misiba,allowance n.k

Watu wachache watakao toa rushwa inje mfumo huo wa FAST SERVICE, basi ALIYETOA NA ALIYEPOKEA wote wakamatwe ili iwe fundisho kwa wengine!

Mchawi mpe mwanao! Rushwa ni fursa ya mapato!

Waziri wa fedha na waziri wa katiba na sheria kaeni chini mnaweza kuliweka kitaalam zaidi kwasababu litakuwa jambo la hiari kama ilivyo vyombo vya usafiri (Business class & Economic class)

Haiwezekani watu wooote wenye matabaka mbalimbali kuwasubilisha kwa muda mrefu kwenye huduma za umma!

Wengine hawataki kusubili na wana hoja za msingi kutokusubili!

Mnataka watu wa namna hii waende wapi?
Hata kwenye kazi zangu za ufundi umeme na ujenzi nimeweka utaratibu kwamba kwa huduma ya kawaida tunakuhudumia mchana tu, lakini kwa dharula na haraka watu hunipigia kwa 0711756341 hata usiku wa manane umeme unapokatika na huwa ninakwenda fasta kama upepo!
 
Imani yangu ni kwamba yanga atachukua kombe......mimi ni mwana Simba navutiwa na namna Yanga kama timu nzima wanavyojitoa.....timu iko well organised na morali ya juu....

Hata ukiwatazama style ya uchezaji wao unaona kabisa hii timu inapambania kitu......

Kila mchezaji ana kiu ya kuipambania timu kuipa mafanikio......

Ki ukweli Kama wataendelea hivi watafika mbali sana......

Mafanikio ya Yanga yanamuumbua tapeli wa kihindi aliyejivika Joho la uwekezaji hewa.....
 
Hili nalo linahusika kwenye rushwa ndugu?
 
Jamaa wa barabarani sasa hawana hata chembe ya aibu, yani anasinamisha, anachukua af mnaondoka
 
Bila uwajibikaji na kufatilia bado shida itabaki pale pale, utalipi hiyo 45% lakini watakuzungusha pia mpaka uwapoze tena.
 
Ndugu wapendwa!

"Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza"

Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa!

Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo!

Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa kuniuliza Hivi siku watu wakiacha kutumia umeme ndugu yangu utafanya kazi gani? Nikamjibu nitafanya kazi ya kuondoa umeme uliopo majumbani ambamo kuna umeme tayali!
Nikamuuliza wewe bosi unafanya kazi gani? Akanijibu TAKUKURU! Nikamuuliza bosi wangu hivi siku rushwa ikiisha nchini kwetu utafanya kazi gani ndugu? Hajawahi kunijibu hadi leo alibakia kucheka tuu!

Hivyo basi Inabidi kama taifa tubadili mbinu ya kupambana na rushwa! Siyo lazima mbinu tutakayoitumia iwe imetumika huko kwingine duniani au imeandikwa vitabuni!

Nashauri kila taasisi inayotoa huduma kwa mifumo ya kisasa ya control number! Pia kuwepo na dirisha la huduma ya haraka (fast corridors)

yaani ni hivi Mteja anapolipia huduma ya umma kwa utaratibu AWE na hiari ya kusubili kwa mujibu wa taratibu zilizopo au kama hawezi kusubiri aelekezwe dirisha la huduma ya haraka (Fast corridor or VIP corridor) ili akalipie ziada ya 45% ya malipo halisi kwa CASH palepale ofisini na apewe risiti nyingine ya huduma ya haraka!

kwa mfano! Mtu aliyelipia huduma ya kawaida ya kusubili mwezi mzima, apewe utaratibu wa haraka ndani ya siku mbili kupitia Fast service aliyolipia!

Hili litaondoa au kupunguza kabisa rushwa! Pia Litaondoa watu wa katikati katika kupata huduma!

Hayo mapato ya ndani yataisaidia taasisi kujiendesha kwa changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza ndani ya taasisi ikiwemo matengenezo ya magari, ukarabati, misiba,allowance n.k

Watu wachache watakao toa rushwa inje mfumo huo wa FAST SERVICE, basi ALIYETOA NA ALIYEPOKEA wote wakamatwe ili iwe fundisho kwa wengine!

Mchawi mpe mwanao! Rushwa ni fursa ya mapato!

Waziri wa fedha na waziri wa katiba na sheria kaeni chini mnaweza kuliweka kitaalam zaidi kwasababu litakuwa jambo la hiari kama ilivyo vyombo vya usafiri (Business class & Economic class)

Haiwezekani watu wooote wenye matabaka mbalimbali kuwasubilisha kwa muda mrefu kwenye huduma za umma!

Wengine hawataki kusubili na wana hoja za msingi kutokusubili!

Mnataka watu wa namna hii waende wapi?
Hata kwenye kazi zangu za ufundi umeme na ujenzi nimeweka utaratibu kwamba kwa huduma ya kawaida tunakuhudumia mchana tu, lakini kwa dharula na haraka watu hunipigia kwa 0711756341 hata usiku wa manane umeme unapokatika na huwa ninakwenda fasta kama upepo!
Dogo una akili sana
 
Naunga mkono hoja
Nilishawahi kusema humu
Rushwa ihalalishwe tu

Ova
 
Rushwa ni nje ya malipo ya kawaida, yani kifupi hiyo 45% itakuwa nayo ni ya serikali, hivyo watatengeneza mazingira nao wapate chao.
Ndiyo maana nikasema ilipwe cash na hiyo ndiyo itatumika kupima uwajibikaji, maana hiyo hela itabakia pale ofisini kwahiyo itawabust
 
Ndugu wapendwa!

"Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza"

Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa!

Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo!

Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa kuniuliza Hivi siku watu wakiacha kutumia umeme ndugu yangu utafanya kazi gani? Nikamjibu nitafanya kazi ya kuondoa umeme uliopo majumbani ambamo kuna umeme tayali!
Nikamuuliza wewe bosi unafanya kazi gani? Akanijibu TAKUKURU! Nikamuuliza bosi wangu hivi siku rushwa ikiisha nchini kwetu utafanya kazi gani ndugu? Hajawahi kunijibu hadi leo alibakia kucheka tuu!

Hivyo basi Inabidi kama taifa tubadili mbinu ya kupambana na rushwa! Siyo lazima mbinu tutakayoitumia iwe imetumika huko kwingine duniani au imeandikwa vitabuni!

Nashauri kila taasisi inayotoa huduma kwa mifumo ya kisasa ya control number! Pia kuwepo na dirisha la huduma ya haraka (fast corridors)

yaani ni hivi Mteja anapolipia huduma ya umma kwa utaratibu AWE na hiari ya kusubili kwa mujibu wa taratibu zilizopo au kama hawezi kusubiri aelekezwe dirisha la huduma ya haraka (Fast corridor or VIP corridor) ili akalipie ziada ya 45% ya malipo halisi kwa CASH palepale ofisini na apewe risiti nyingine ya huduma ya haraka!

kwa mfano! Mtu aliyelipia huduma ya kawaida ya kusubili mwezi mzima, apewe utaratibu wa haraka ndani ya siku mbili kupitia Fast service aliyolipia!

Hili litaondoa au kupunguza kabisa rushwa! Pia Litaondoa watu wa katikati katika kupata huduma!

Hayo mapato ya ndani yataisaidia taasisi kujiendesha kwa changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza ndani ya taasisi ikiwemo matengenezo ya magari, ukarabati, misiba,allowance n.k

Watu wachache watakao toa rushwa inje mfumo huo wa FAST SERVICE, basi ALIYETOA NA ALIYEPOKEA wote wakamatwe ili iwe fundisho kwa wengine!

Mchawi mpe mwanao! Rushwa ni fursa ya mapato!

Waziri wa fedha na waziri wa katiba na sheria kaeni chini mnaweza kuliweka kitaalam zaidi kwasababu litakuwa jambo la hiari kama ilivyo vyombo vya usafiri (Business class & Economic class)

Haiwezekani watu wooote wenye matabaka mbalimbali kuwasubilisha kwa muda mrefu kwenye huduma za umma!

Wengine hawataki kusubili na wana hoja za msingi kutokusubili!

Mnataka watu wa namna hii waende wapi?
Hata kwenye kazi zangu za ufundi umeme na ujenzi nimeweka utaratibu kwamba kwa huduma ya kawaida tunakuhudumia mchana tu, lakini kwa dharula na haraka watu hunipigia kwa 0711756341 hata usiku wa manane umeme unapokatika na huwa ninakwenda fasta kama upepo!
Ukihalalisha rushwa nakuhakikishia hakuna huduma itakayotolewa straight
 
Back
Top Bottom