Kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja kiwanja

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
wadau KIWANJA cha kununua KINAHITAJIKA
HARAKA sana maeneo ya kinyerezi, tabata
segerea, ni PM tufanye biashara
 
Je kisarawe 2? Not far from Kigamboni Ferry. Just near where they quary sand. Not far from the beach.
 
Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...uko pasta au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni woowtv@live.co.uk. Asante.
 
Nina kiwanja kigamboni Mwasonga,kimepimwa na kipo barabarani.Kipo kama km 29 toka feri na karibu na mradi wa maji wa mji wa kigamboni.kina ukubwa wa sqmt 1500,bei yake 20M.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom