Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,680
12,254
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...!
20240405_160208_062934.jpg

Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja.

1f0e8f67b51b62134b1ed1f03349f8c4.jpg


Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka Lami ilipo hadi kwenye hicho kiwanja.

Kiwanja hiki hakina udalali, atakae kuuzia ni mmiliki halali.

67443bda09d717b59aafc02aeffa8c0b.jpg

Kwa mawasiliano juu ya ununuzi au kwenda kukiona 0759170794.

20240405_160100_063126.jpg
 
Ukiwa na hela,
Nunua kiwanja hiki, kisha kaa miaka 4, kikate kwenye viwanja vya 15*15, utapata viwanja 8,
Uza kila kimoja 5-7M
Unapata zako 50M nyepesiii
oh... harafu nimechanganya madesa ni 30*45
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom