X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,692
- 12,297
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...!
Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja.
Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka Lami ilipo hadi kwenye hicho kiwanja.
Kiwanja hiki hakina udalali, atakae kuuzia ni mmiliki halali.

Kwa mawasiliano juu ya ununuzi au kwenda kukiona 0759170794.