twa twa twa na safari nimewaPM hapo ili tusaidiane kidogo... Kaka Eli samahani kwa kuvamia jukwaa lako...
Araway nimeshachukua namba hiyo ngoja nimtafute...
Hakuna neno kaka. Mi nimepiga simu hiyo naona kama nashindwa vile na ukizingatia sipo morogoro nimeamua kutuliza munkari kwanza. Wengine naombeni mniPM hata bei basi
Nina nyumba kubwa tuuh morogoro mjini pale tumbaku njia ya kwenda ujenzi ina vyumba sita na nyumba ndogo vitatu zote naziuza...kwa mawasiliano 0654939974
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.