Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,107
52,832
Habari Wakuu ningefurahi Kama nitapata mchanganuo was biashara hizi mbili.
👉Kuanzia Gharama za uanzishaji, utekelezaji wa viwanda hivi.

Najua vyote ni Bora, ila utofauti lazima uwepo?l!!.
👉Kwa maeneo Kama mwanza au shinyanga ita faa zaidi???.
02, una mshauri mtu kipi Bora?

FB_IMG_17065182130085615.jpg
FB_IMG_17065183725103520.jpg
 
Uwekezaji mkubwa hivyo unahutaji Market Research kabla ya kupeleka bidhaa yako mpya mtaani.

In FACT Market Research / Market Survey inakupa majibu mengi ya upeleke bidhaa ya quality gani, Au usipeleke kabisa nk. Zipo Kampuni zinafanya Shughuli hizo. Wanaingiza watu kabsa kwa walengwa wako then eventually wanakuja na collective data. (It's like umeongea na umma at once)

Pia ukipitia Tanzania investment Center (TIC) Kama muwekezaji mzawa unapata unafuu wa Kodi na milolongo mingine. Sasahivi kwa Mtaji wa Tzs 125 Million unaitwa ni mwekezaji mzawa.

Water manufacturing is simple
 
Accumen Mo hauna lolote unalo fahamu Humu?!
Hii biashara kuna dogo alikuwa anafanya tena anatengeneza kwao kabisa ,ilikuwa ni sabuni za maji alipiga pesa ...

Mwaka 2015 au 2016 mwanzoni nilitaka kwenda kumtembelea dogo ,ila nikasikia alipiga pesa kwa ujinga kaua kiwanda kakimbilia south Africa...Huku kaenda kuajiriwa kweny supermarket.

Tangu hapo sijapata idea maana nilitaka kumpeleleza kidogo..Ila sabuni watu wanatengeneza sana tatizo hawa watu wa mazingira ..
 
Watu wa osha ehh??, Kuna jamaa nili mkuta mwanza ana tengeneza za kipande.
👉Yupe Jamaa kakosa branding tu, kingine ni mbishi mnoo- akiuza Mitaa 5 anasema Ina tosha😄
 
Back
Top Bottom