Kivipi ielezwe utabiri ndio ushirikina? Si kweli.

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi huko na humu JF. Kuhusu ushirikina...ukihusishwa na wataalam wa jadi..hata utabiri. Vizuri kufaham maana halisi ya ushirikina...kisha ifuatie kuleta uzushi sasa! Kuliko kueleza jambo huna ujuzi nalo. Inatia aibu..
Tulijadili hili.
 
hapa nahitaji darubuni ili niweze kuielewa hii post.
 
X-Paster !
Nlilokusudia ndio nilolianzisha!
Bro Gama! Hilo halihitaji darubini kabisa. Labda ungeuliza palipo kutatiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom