Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

mbona ulipotoka na huyo boifrend wa kwanza hukutushirikisha mavazi ya kuvaa? au ndio unatutangazia kuwa umepata mwanaume mwingine? ushauri wangu nenda ukiwa uchi ili akufaidi vizuri!
 
Khaaa! Yamekuwa hayo tena??? Mie nashangaa kila siku waniambia nivae dera kumbe humu jf waawadizainia watu nguo!... Hiyo haikubaliki kama malaria.

halafu mjamaa ni mchoyo eti kaweka vinguo vyake viwili kaona tutagezea sijui kasema anaenda kum PM zinduna!!!!!
 
Ya nini tabu? kama anajisikia kuvaa jinsi avae, kama kigauni tupia, kama kimini haya, kama dera twende kazi!!! ya nini kujifanya uko hivi na kumbe ni vile?? kesho ndo unakuja kukuona aah sio wewe aliyekutaka ni yule wa siku ileee....lol!!

halafu si huwa tunavaaga kulingana na muda, tukio na mahali pia??? nadahani hata akazingatia hilo tu basi itapunguza tabu!!!

wee ulikuwa wapi jana? ulikuwa na mning'inio???
Umeonae?

Niliwahi kumshuhudia best friend kaachwa kwenye mataa baada ya kujikwatua vilivyo, alijiremba anaenda kwenye apointment kwa mara ya kwanza akaambulia patupu, huezi amini alipita ofisini boss akamwuliza unaenda kwenye harusi au wewe ndie bi harusi? Alipofika kwa jamaa anasema hakumchangamkia kama mwanzoni, wakapata lunch kimya kimya, kabla hajamalza msosi jamaa kamuaga kwa ahadi kuwa atampigia siku ingine!

Thubutu yake jamaa hajampigia tena mpaka leo na kesho....

Jana nilikuwa na mtoko na jamaa ila hajanimwaga!.lol
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kwel mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe! We inavyoonekana uliachana na Bf wako kisa hilo njemba!
 
halafu mjamaa ni mchoyo eti kaweka vinguo vyake viwili kaona tutagezea sijui kasema anaenda kum PM zinduna!!!!!
Password yake ninayo usijali. Akim PM tu amekwisha...ntacopy na kupestia humu jukwaani!
 
mbona ulipotoka na huyo boifrend wa kwanza hukutushirikisha mavazi ya kuvaa? au ndio unatutangazia kuwa umepata mwanaume mwingine? ushauri wangu nenda ukiwa uchi ili akufaidi vizuri!

Wakati huo niliuwa sijui JF ni kitu gani, mie nimejunga juzi tu na huyo BF nilijuana naye 2 years back, waweza ona tofauti sasa. Au?
 
Umeonae?

Niliwahi kumshuhudia best friend kaachwa kwenye mataa baada ya kujikwatua vilivyo, alijiremba anaenda kwenye apointment kwa mara ya kwanza akaambulia patupu, huezi amini alipita ofisini boss akamwuliza unaenda kwenye harusi au wewe ndie bi harusi? Alipofika kwa jamaa anasema hakumchangamkia kama mwanzoni, wakapata lunch kimya kimya, kabla hajamalza msosi jamaa kamuaga kwa ahadi kuwa atampigia siku ingine!

Thubutu yake jamaa hajampigia tena mpaka leo na kesho....

Jana nilikuwa na mtoko na jamaa ila hajanimwaga!.lol

Mbona mnanitisha jamani, mie nilizoea mapenzi ya shule, haya ya kukutana kwenye Mahoteli makubwa mie mgeni nayo
 
mbona ulipotoka na huyo boifrend wa kwanza hukutushirikisha mavazi ya kuvaa? au ndio unatutangazia kuwa umepata mwanaume mwingine? ushauri wangu nenda ukiwa uchi ili akufaidi vizuri!
Khaaa! Magori mbona mkali hivyo??
 
Kwel mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe! We inavyoonekana uliachana na Bf wako kisa hilo njemba!

Ahsante kwa kunivunjia heshima; labda nikuulize, hivi ukimfumania LIVE your GF au Mkeo kama umeoa, ANA-DO na rafiki yako kabisa mlioshibana, utajichekesha tu na kusema, 'I love you my sweetheart.' halafu basi, unaendea kuwa na uhusiano naye tu!!!!!!!!
Bila shaka utakuwa na walakini kwenye ubongo wako, au MAJUNUNI!!!!!!!!!
 
Mimi naona avae kama wewe kwenye hiyo avatar yako...huyo jamaa lazima adate!

Mh..! humtakii mema mwenzio wewe, sasa akivaa hivyo hata kwenye mtoko kwenyewe atafika kweli? Si watatokea admirer zaidi ya mia on the way huko ?
 
mbona kazi ndogo? Why worry? Just take the initiative and book a seaside room at the Seacliff,mkaribishe,akija akute umevaa vazi rasmi ulilozaliwa nalo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom