habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,740
Wakishamaliza kampeni ya kunya chooni waje na kampeni ya kuchamba, maana wakati wanakunya vichakani walikuwa hawanawi wanaamka na kusepa vivyo hivyo.
Mkuu katika zunguka yangu vijijini, watu wanakunya sana kwenye vichaka yaaani ukipita harufu tu itakujuza kuwa kuna mbolea asilia imemwangwa pasi na mpangilioahhahaha huyo inaonesha kila baada ya hagua sitini ulikua unakutana na kimba