Kiungu village Kenya

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
IMG_20180520_215853_385.jpg
 
Wakishamaliza kampeni ya kunya chooni waje na kampeni ya kuchamba, maana wakati wanakunya vichakani walikuwa hawanawi wanaamka na kusepa vivyo hivyo.
 
Wakishamaliza kampeni ya kunya chooni waje na kampeni ya kuchamba, maana wakati wanakunya vichakani walikuwa hawanawi wanaamka na kusepa vivyo hivyo.

Kweli mkuu tena umekumbusha jambo LA msingi, tabia kunya na kusota kwenye mchanga ife, wajitunze kuchamba
 
ahhahaha huyo inaonesha kila baada ya hagua sitini ulikua unakutana na kimba
Mkuu katika zunguka yangu vijijini, watu wanakunya sana kwenye vichaka yaaani ukipita harufu tu itakujuza kuwa kuna mbolea asilia imemwangwa pasi na mpangilio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom