Kiukweli Shujaa Magufuli aliogopa bure tu Mikutano ya Wapinzani, angeitumia waipigie promo CCM!

Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!

Kukurejea kwenye hoja yako. Tofautisha malumbano ya hoja na hoja za sasa za Lissu (Chadema):

1. Nani alituletea uthibitisho usio kuwa na shaka kuwa tuna Marais wezi?

2. Nani aliweza kuwasemea na kuwagusa watanzania wote na kwa ufasaha hivi wakiwamo polisi, wasiojulikana na hata chawa kama nyie?

Leo tunajua Mama hana uungwaji mkono:

https://www.jamiiforums.com/threads/tafakuri-baada-ya-hotuba-1-ya-lissu.2060084/

Shujaa angejisikia je kuumbuliwa wizi, uuwaji, udhulumati, upoteza watu, ubaguzi, upendeleo, ukanda, nk?

Alikuwa na ngozi ipi ngumu ya kuuhimili ukweli?

Si alijua ukweli kutokuwa mtamu?

Labda kama umemsahau.
 
Kukurejea kwenye hoja yako. Tofautisha malumbano ya hoja na hoja za sasa za Lissu (Chadema):

1. Nani alituletea uthibitisho usio kuwa na shaka kuwa tuna Marais wezi?

2. Nani aliweza kuwasemea na kuwagusa watanzania wote wa kwa ufasaha hivi wakiwamo polisi, wasiojulikana na hata chawa kama nyie?

Leo tunajua Mama hana uungwaji mkono:

Shujaa angejisikia je kuumbuliwa wizi, uuwaji, udhulumati, upoteza watu, ubaguzi, upendeleo, ukanda, nk?

Alikuwa na ngozi ngumu ya kuuhimili ukweli?

Si alijua ukweli kutokuwa mtamu?

Labda kama umemsahau.
Pale kwenye Kipima Joto kuna Jamaa anaitwa Bante, ni noma yaani Tundu Lisu anasubiria mbali kabisa
 
Unafahamu kuwa ile Lissu anataka tu kutimba nyumbani beberu akanyanyua security alert kwa raia wake?

Madogo hayo?

Huyo Bante ndiyo nani? Isije kuwa naye ni fake ID, mbona wengine hatumjui?

Labda utuwekee CV yake tuione isije kuwa ndiyo wewe au labda hata ni chawa mwenzio tu.

Acheni Mungu aitwe Mungu.

Shujaa wenu kuzuia mikutano haikuwa bure!
 
Raia wa beberu ni pamoja na Watoto wa Dr Lisu ujue!
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
magu alikuwa muizi akaogopa kuanikwa majukwaani
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
Wapinzani hawana nguvu now kwa sababu aliyepo madarakani anaelewana na wazungu ma walamba asali.
 
Hakuogopa ila aliona ni kupoteza mda, "hapa kazi tu" Nia yake ni kuibadilisha Tz ila watu wema hawaishi mda mrefu.
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
Zuio la mikutano ya kisiasa lilitokana na matukio ya huko nyuma yaliyotekea enzi za JK hasa baada ya matukio ya mabomu kutamalaki katika mikutano ya CHADEMA! na ndiyo maana baada ya zuio kuondolewa ZITTO anawaambia wenzie wasirudie makosa waliyofanya mwanzo ambayo yalipelekea ile mikutano kuzuiwa.
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
Watu wanafunguka polepole na matokeo yake ccm watayaona kuanzia June mwaka huu!
 
Kadiri siku zinavyoenda wafuasi wa mwendazake wanazidi kukiri kuwa jamaa waliyemuona mungu, hakuwa na akili
Acha Samia wafundishe uongozi, hii ndio shule ya uongozi tena inafundishwa practically sasa, sio kama ile ya YouTube
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
Unamuita shujaaa JPM
Sasa tangu lini shujaa akaogopa mikutano labda shujaaa wa mchongo
 
Ni mwezi sasa tangu Mikutano ya hadhara iruhusiwe

Je, umeona jipya lolote?

Mambo yaliyoongelewa na Chadema kwa mfano ndio huwa yanaongelewa kila wiki kwenye Kipindi cha Malumbano Ya Hoja na Kipima Joto pale ITV

Sabato njema!
Magufuli aliwanyima buyu la asali. Huyu wa sasa kawapa mzinga kabisa. Ndio maana wameishiwa hoja wakati kwa sasa ukimsimamisha hata mtoto wa chekechekea atakumwagia hoja.

Tatizo la wanasiasa wengi wanaishi kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao. Ogopa sana mwanasiasa ambaye kila wakati wanataka watu waione familia yake( kina sugu, mbowe, lema, msigwa).

Kwa Magu walikuwa wanadakia hoja hata kama hakuna ukweli.
 
Unamuitaje mwanzako shujaa wakati alikuwa muoga?
 
Magufuli aliwanyima buyu la asali. Huyu wa sasa kawapa mzinga kabisa. Ndio maana wameishiwa hoja wakati kwa sasa ukimsimamisha hata mtoto wa chekechekea atakumwagia hoja.

Tatizo la wanasiasa wengi wanaishi kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao. Ogopa sana mwanasiasa ambaye kila wakati wanataka watu waione familia yake( kina sugu, mbowe, lema, msigwa).

Kwa Magu walikuwa wanadakia hoja hata kama hakuna ukweli.
Kama nyie wafuasi wa jiwe ni wanaume, tokeni CCM, muunde chama cha cha upinzani cha kweli, acheni kujificha kwenye ID fake
 
Back
Top Bottom