Kiu ya mwanamke ni nini?

U won't know unless u do the analytical part of it! Come onn Ruta!

BIG POINT, Mugglin.....................tatizo ni kuwa unachukulia kuwa ninazo hizo RISK ANALYTICAL skills...................kama sina wewe ambaye ni mwalimu itabidi unielemishe ili nipate ujuzi wa kuzitumia.......
 
There is no spoon feeding sasa. Google. Further more, unatakiwa ujifunze kufanya quick risk analysis kwa kila situation. Its like crossing the road, u can't walk around with the manual! U need to know the left-right-left-cross rule, yeah?

waswahili hulonga kuuliza siyo ujinga funguka kidogo lol.........
 
yawezekana ikawa japo pia inawezekana isiwe kwani katika hayo baadhi yanapishana kwa kila mtu

Nadharia iko mahali pake.................sasa ongezea mfano hai nishibe kabisa bila ya kutapika ..lol
 
Kiu yangu ni kupendwa, pesa na mali +kujamiiana.
Hivi unaweza ukapendwa halafu usiheshimiwe?

akiwa na mpango wa kando unafikiri hakupendi? Anakupenda sana ila hakuheshimu.........
 
There is no spoon feeding sasa. Google. Further more, unatakiwa ujifunze kufanya quick risk analysis kwa kila situation. Its like crossing the road, u can't walk around with the manual! U need to know the left-right-left-cross rule, yeah?

...bado sikuelewi... "RISK ANALYSIS".... is simply a phrase... What should I google for..? at what field..?
 
Google exactly that, see options u get na uamue unaelekea wapi!

Guys, saumu ya kwaresma imenishika vibaya, staki kufunguka if u don't mind. Niwatakie wakati murua... I'm outta here.

una wanandoa huwa wanakaa miezi sita bila ya hii kitu, hapo sijui huwa inakuwaje, or probably priorities zinabadilika over time...

hiyo ndoa ni kaputi kwa sababu hata Mwenyezi Mungu ametuamuru tusinyimane ugali bali kwa makubaliano ya wahusika wote.........."Do not deprive one another except with mutual consent........"...1 Corinthians 7:5
 
...bado sikuelewi... "RISK ANALYSIS".... is simply a phrase... What should I google for..? at what field..?

Google what wakati tuna mtaalamu wa RISK Analysis ndani ya hili jamvi..........Mugglin.......au kama hana basi akiri twende ku-google........
 
kuna wanandoa huwa wanakaa miezi sita bila ya hii kitu, hapo sijui huwa inakuwaje, or probably priorities zinabadilika over time...

miezi sita bila mti? Hii sio ndoa..itawezekana kama mmoja ni mgonjwa au yuko nje nchi.. Ila kama wote wazima basi kila mmoja atakuwa anatimiza haja zake kando..
 
[h=2]
icon1.png
[/h] Google exactly that, see options u get na uamue unaelekea wapi!

Guys, saumu ya kwaresma imenishika vibaya, staki kufunguka if u don't mind. Niwatakie wakati murua... I'm outta here.

Kufunguka umefunguka kuwa kumbe hujui............what is RISK ANALYSIS
 
miezi sita bila mti? Hii sio ndoa..itawezekana kama mmoja ni mgonjwa au yuko nje nchi.. Ila kama wote wazima basi kila mmoja atakuwa anatimiza haja zake kando..

hata mimi ndivyo jinsi ninavyoona....................
 
Google exactly that, see options u get na uamue unaelekea wapi!

Guys, saumu ya kwaresma imenishika vibaya, staki kufunguka if u don't mind. Niwatakie wakati murua... I'm outta here.

...haahaaahaaaa....
.... Mugglin...!!
 
Tena usithubutu kuwauliza wanawake wenyewe!HAWAJUI!
Mwanamke hajui apendacho mpaka umuonyeshe kwanza.Ukisikia anapenda ki2 fulani,ujue sometimes anafuata mkumbo tu.Ndio maana ni rahisi kukolea...
 
Back
Top Bottom