Kiu ya mwanamke ni nini?

What women want

Kiu ya mwanamke ni nini walakini?

1) Kupendwa?

2) kuheshimiwa?

3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............

4) Kufanywa na ampendaye?

5) Pesa na mali tu?

6) Kujitegemea kwa khali na mali.............

7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................

8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............

Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye dimbwi la upweke............

Mwanamke anapenda mengi sana, na unapaswa kutambua kuwa swala la kupenda ni mchakato. Binafsi nadhani KUTHAMINIWA ni jambo kubwa kwa mwanamke.
 
What women want

Kiu ya mwanamke ni nini walakini?

1) Kupendwa?

2) kuheshimiwa?

3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............

4) Kufanywa na ampendaye?

5) Pesa na mali tu?

6) Kujitegemea kwa khali na mali.............

7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................

8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............

Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye dimbwi la upweke............

namba tano ndio kila kitu,kama haipo sioni vingine vikienda smooth.....lol
 
What women want

Kiu ya mwanamke ni nini walakini?

1) Kupendwa?

2) kuheshimiwa?

3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............

4) Kufanywa na ampendaye?

5) Pesa na mali tu?

6) Kujitegemea kwa khali na mali.............

7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................

8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............

Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye
dimbwi la upweke............

Kufanywa tu ndiyo kiu kali sana inayowasumbua.
 
Back
Top Bottom