Kiu ya mwanamke ni nini?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
What women want

Kiu ya mwanamke ni nini walakini?

1) Kupendwa?

2) kuheshimiwa?

3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............

4) Kufanywa na ampendaye?

5) Pesa na mali tu?

6) Kujitegemea kwa khali na mali.............

7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................

8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............

Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye dimbwi la upweke............
 
Kuna kiu ya maji, ya soda, ya chai, ya mtindi, ya bia na hata ya gongo! Kila mwanamke ni unique na kutegemeana na malezi na makuzi amejengewa kiu za aina fulani tu! Risk analysis inahusika kwa kila new project baba!
 
soma hapa kwa ufafanuzi wa ziada.............What women want
 
Wewe usijisumbue sana kila mwanamke ataishia kwa mme wake/bf wake...na kila mwanaume atajua kipi mke wake/gf wake anakipenda.

Ukitazama sana katika point zako hapo juu, nadhani number 2 and 4 ndo wengi wanazipenda :cool2:
 
Kuna kiu ya maji, ya soda, ya chai, ya mtindi, ya bia na hata ya gongo! Kila mwanamke ni unique na kutegemeana na malezi na makuzi amejengewa kiu za aina fulani tu! Risk analysis inahusika kwa kila new project baba!

There is no a better answer than this, good and right thinking.
 
Wewe usijisumbue sana kila mwanamke ataishia kwa mme wake/bf wake...na kila mwanaume atajua kipi mke wake/gf wake anakipenda.

Ukitazama sana katika point zako hapo juu, nadhani number 2 and 4 ndo wengi wanazipenda :cool2:

kabla hawajafikia kule.........ni vitu gani viliwavutia.............utashangaa kuona namba 5 na 6.................ndiyo msukumo unakotokea na wala siyo namba 2 na 4 kama ulivyobaini......
 
There is no a better answer than this, good and right thinking.

could be right....................bu we still need that risk analysis first.....................always, not usually, the devil is in detail............
 
kiu zao huzijua wao wenyewe maana hapa tutaishia kuguess tu lakini hakutakuwa na jibu sahihi ni nini wanahitaji kujisatisfy labda wakija wao wenyewe watatoa majibu japokuwa yatakuwa kwa upande wao zaidi...
 
Wewe usijisumbue sana kila mwanamke ataishia kwa mme wake/bf wake...na kila mwanaume atajua kipi mke wake/gf wake anakipenda.

Ukitazama sana katika point zako hapo juu, nadhani number 2 and 4 ndo wengi wanazipenda :cool2:

....hyo namba 4 mbona inachakachuliwa sana cku izi.....
 
kiu zao huzijua wao wenyewe maana hapa tutaishia kuguess tu lakini hakutakuwa na jibu sahihi ni nini wanahitaji kujisatisfy labda wakija wao wenyewe watatoa majibu japokuwa yatakuwa kwa upande wao zaidi...
u
napomfukuzia lazima utakuwa unabashiri anachohitaji ili muelewane.............hicho ni kipi kwa sababu huwezi kuwa unakwenda mkichwamkichwa...............
 
...mwanamke wa kileo hana defn moja.... too complicated...

...hatujui wanataka nini...
...na wao wenyewe hawajui wanataka nini...
w
kwa hiyo sote ni vipofu inapokuja kucheza kwenye uwanja wa mahaba?
 
....hyo namba 4 mbona inachakachuliwa sana cku izi.....

Kivipi huchakachuliwa wakati anapokupa mpo wawili tu tena mmejificha hamtaki wengine wawaone mkila maraha yenu?
 
....exactly....
...ila upofu huu....unaweza punguzwa na wao wenyewe kwa kuwa wazi....

wasipokuwa wazi itabidi ufanye ile risk analysis ambayo hadi sasa tunaisubiria kutoka kwa Mugglin..........
 
the female psyche is too complicated to define with any reasonable certainty...
But a man's brain is designed to do just that.......................deciphering a woman's psyche no matter how confusing it turns out to be.............
 
Back
Top Bottom