Kuna picha maarufu sana ina trend ya kituo cha polisi kinachojengwa Butiama. Kama hiyo picha ni kweli ndicho kituo chenyewe, kweli sina budi kuogopa sana kwamba nchi yangu imekuwa na watu majasiri sana katika kudanganya.
Sijui nani anatudanganya hapa kati ya mpiga picha na uhalisia wenyewe ama mtoa taarifa wa umma aliyetoa takwimu hii au hata mkandarasi anayejenga!
Ukweli kuwa Takukuru wapo,CAG yupo, viongozi wote wa chama na serikali wapo, lakini uongo kama huu (sisemi wizi) unakuwepo na watu wanafurahia! Ni jambo la kusikitisha na kukatisha tamaa.Nchi yangu Tanzania.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app