Kituo cha milioni 800 Butiama, tukisema hakuna wizi nafsi zinatusuta

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,972
Kuna picha maarufu sana ina trend ya kituo cha polisi kinachojengwa Butiama. Kama hiyo picha ni kweli ndicho kituo chenyewe, kweli sina budi kuogopa sana kwamba nchi yangu imekuwa na watu majasiri sana katika kudanganya.

Sijui nani anatudanganya hapa kati ya mpiga picha na uhalisia wenyewe ama mtoa taarifa wa umma aliyetoa takwimu hii au hata mkandarasi anayejenga!

Ukweli kuwa Takukuru wapo,CAG yupo, viongozi wote wa chama na serikali wapo, lakini uongo kama huu (sisemi wizi) unakuwepo na watu wanafurahia! Ni jambo la kusikitisha na kukatisha tamaa.Nchi yangu Tanzania.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kuna daraja la miti lilijengwa kwa milioni 100+

Nchi ngumu Sana hii
 
Nchi haina usimamizi, rais hawezi kusimamia kila project, hao watu wake walio huko ndio wachukuliwe hatua.
Fedha zinaliwa, mkuu wa mkoa yupo analewa tu,
Mkuu wa wilaya yupo anafukuzia wamama, mtendaji yupo anauza viwanja, kamati ipo wanakula nyama yenye kichuri.
Who cares?
 
Back
Top Bottom