Kituko gani kiliwahi kukukuta during sex?

Kitu bwawa halafu linajilizaa na mimi nikawa nalizomeaaa likiangalia pembeni ile ya kimya kimya.Mwishoni linaniuliza umenjoy eeeh ? Na mimi nilivyomnafiki nikamwambia sanaaa.Sijawahi kuenjoy hivi toka nizaliwe.Na namba nikafutilia mbali.
 
Kuna mwamba alichukua demu disco usiku mida ya saa nane wako chakari akaja naye room akapiga show fresh ile mida ya saa kumi usiku demu kakata moto na kufa kabisa msela hakuamini akatustua kwenda kumcheck demu kwisha tukamuuliza jamaa kama anafahamu kwao au hata rafiki zake jamaa kasema hamjui alimchukua tu disco huko wakiwa wamelewa!
Tukaona ishu ulikifika polisi msala ikabidi kuubeba mwili na kuutupa mtaroni mbali kidogo then kesho yake habari zikavuma kuna maiti ya mdada imeokotwa mtaroni tukaenda pia kuangalia kama hatujui kilichotokea
Badae polisi walifika wakachukua mwili (ilikuwa mwaka 2010)
Halafu huyu jamaa nimekuja kukutana naye Dar ni mchungaji siku hizi halafu ana bonge la kanisa na ni maarufu sana ana pesa mingi)
 
Kuna mwamba alichukua demu disco usiku mida ya saa nane wako chakari akaja naye room akapiga show fresh ile mida ya saa kumi usiku demu kakata moto na kufa kabisa msela hakuamini akatustua kwenda kumcheck demu kwisha tukamuuliza jamaa kama anafahamu kwao au hata rafiki zake jamaa kasema hamjui alimchukua tu disco huko wakiwa wamelewa!
Tukaona ishu ulikifika polisi msala ikabidi kuubeba mwili na kuutupa mtaroni mbali kidogo then kesho yake habari zikavuma kuna maiti ya mdada imeokotwa mtaroni tukaenda pia kuangalia kama hatujui kilichotokea
Badae polisi walifika wakachukua mwili (ilikuwa mwaka 2010)
Halafu huyu jamaa nimekuja kukutana naye Dar ni mchungaji siku hizi halafu ana bonge la kanisa na ni maarufu sana ana pesa mingi)
Sio chai Ii.
 
Kuda mdada alikuwa Ana Tako Hatari Kila nikitongoza anakataa, siku moja akanishtukiza akaniambia anakuja getto Ila hatokaa Sanaa, mbaya zaidi siku hiyo nlikuwa nmeibiwa million 6 ofisini pesa za kampuni na kesho yake nlikuwa natakiwa kudeposit hiyo pesa... Kwa vile huyo demu alikuwa n mzuri Sanaa nikaona acha aje nijilie.... Guess what! Mboo ilishindwa kusimama mawazo yalikuwa kuhusu pesa ya watu niliyoibiwa demu aliambia mbona husimamishi nikamwambia siko Sawa Nina stress yule mrembo najua huko alipo atakuwa ananisimulia kwa jambo Hilo la Mboo kushindwa kusimama angejua nlikuwa nmeibiwa million 6 na mshahara nlikuwa nalipwa laki 2......by the way nilifanya kazi kwa mwaka 1 na nusu Bila ya mshahara na hiyo ni option ya mwisho niliyopewa namshukuru Mungu nipo Hai maana nilifikiria kujiua baada ya ilo tatizo, Mungu alinipa nguvu ya kupambania na jaribu Hilo na kweli nmelishinda
Gahawa ☕☕
 
Mwaka 2018 nikiwa natoka zangu Uganda na basi la FALCON.
Tulipofika bukoba chuma likazingua ikabibidi tuweke kituo pale. Mpaka kufika jioni mambo hayaeleweki, nikaingia zangu club. Check one two nikaling'aza toto moya matata jeusi la kung'aa nikajisogeza. Kuanza kulipa saundo nikagundua linaongea kiswahili Cha chigari(Kigali). Nikasema kimoyomoyo tutafika tu. Baada ya kama dakika 15 mbele nikachumpa na kutafuta lodge fasta na kurudi. Kama SITA kasoro tukaondoka mpaka lodge, kama dakika 15 hivi nipo zangu Kwa chest mala mrango unagongwa Kwa nguvu nikachuna, lakini mrango unaendelea kugongwa. Nikaona isiwe kesi ngoja nifungue laula lakwata nakutana na USO Kwa USO na askari wakiwa na mashine na wameshika kitabu Cha gest. Makopsi wakaniuliza unaitwa nani nikataja jina wakacheki kwenye kitabu ndio lenyewe. Wakanichoraa mala wakadai kitambulisho nikawapa punde wakakirudisha. Sasa wakahamia Kwa yule mrembo. Swali la kwanza tu akajichanganya na alivyo jibu tu wakajua sio mbongo pila likaanzia hapo😭
 
Mwaka 2018 nikiwa natoka zangu Uganda na basi la FALCON.
Tulipofika bukoba chuma likazingua ikabibidi tuweke kituo pale. Mpaka kufika jioni mambo hayaeleweki, nikaingia zangu club. Check one two nikaling'aza toto moya matata jeusi la kung'aa nikajisogeza. Kuanza kulipa saundo nikagundua linaongea kiswahili Cha chigari(Kigali). Nikasema kimoyomoyo tutafika tu. Baada ya kama dakika 15 mbele nikachumpa na kutafuta lodge fasta na kurudi. Kama SITA kasoro tukaondoka mpaka lodge, kama dakika 15 hivi nipo zangu Kwa chest mala mrango unagongwa Kwa nguvu nikachuna, lakini mrango unaendelea kugongwa. Nikaona isiwe kesi ngoja nifungue laula lakwata nakutana na USO Kwa USO na askari wakiwa na mashine na wameshika kitabu Cha gest. Makopsi wakaniuliza unaitwa nani nikataja jina wakacheki kwenye kitabu ndio lenyewe. Wakanichoraa mala wakadai kitambulisho nikawapa punde wakakirudisha. Sasa wakahamia Kwa yule mrembo. Swali la kwanza tu akajichanganya na alivyo jibu tu wakajua sio mbongo pila likaanzia hapo
Uliponaje mkuu, alikuwa jambazi
 
Habari za weekend wana JF?
Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi.
Nianze na changu.
Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki!
Kizaazaa. Acha nipagawe!
Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha nianze kupepea na mashuka huku nikiomba.
Mwendo wa dakika kadhaa ndio naona anaanza kurespond.
Aki siwezi sahau siku ile.
Enhe hebu tupe kisa chako. Kituko gani uliwahi kumbana nacho wakati wa mzagamuo?
Kukutana na dada aliyekeketwa,,, hawana hisia kabisa, ila nilijua kucheza na K yake hadi Leo uwa ananitafuta ila Niko mbali nae, alikuwa anazungusha uno sijawai ona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom