Kitu gani kinakufanya umpende mpenzi wako zaidi?

Kama ni kweli uko hivyo,basi mwandani wako ana bahati sana.hata mimi natafuta mtu wa namna hiyo.ila aongeze sifa moja ya uaminifu.asiwe msaliti wa penzi.sijui nitapata jamani?
 
Wangu mbishi lakini hata hivyo Qualities nyingi anazo. Mi naona kama anaweza kujizuia kuchakachua mengine yote hayana maana. Ndoa si lelemama kuna challenge nyingi sana. Maisha ni kuchukuliana na kupendana . Huwezi kusifiwa kwa kula misosi ila jinsi unavyo solve matatizo katika life . Ukitaka hivyo basi ukaishi night club ndiyo utapata ukitakacho ila si katika maisha ya ndoa dada au kaka. Ndiyo maana ndoa siku hizi , siku mbili, week mwezi na ukimaliza mwaka bahati. So ukishikwa shikamana.
 
Jamani mi napenda sana pale girl wangu anapokuwa mcheshi,anapokuwa ananichokoza mfano amenifinya,kunikumbatia,nikirudi home/geto anipokee kwa kiss,asiwe mbishi,awe anajua kubuni mbinu za mapenzi,napenda pale anaponishauri,asiwe ananuna heri ananiambie live kinachomkera,sipendi nimwumize,niwe nacheza naye game za computer,kuangalia pamoja michezo kama soccer,maigizo,movie,kama niko free awe ananiomba tupike pamoja,kiujumla awe ananishirikisha kila kitu.
Kitu gani kinakufanya umpende zaidi mpenzi wako?au kitu gani kinakuvutia uwe unafanya umpende au kushirikiana na mpenzi wako?

Swadaktaaaaa mm napenda mwanamke kwanza awe baunsa,anapiga chuma na gym kwa sana. Pia awe anaota ndoto za kutisha ili aniamshe usiku nisome/kusali. Asiongeze vinywele vya macho yake kama yule mshiriki wa BB frm Nigeria. Awe anaweza kugombania mabasi hasa ya mbagala nakoishi.
 
Swadaktaaaaa mm napenda mwanamke kwanza awe baunsa,anapiga chuma na gym kwa sana. Pia awe anaota ndoto za kutisha ili aniamshe usiku nisome/kusali. Asiongeze vinywele vya macho yake kama yule mshiriki wa BB frm Nigeria. Awe anaweza kugombania mabasi hasa ya mbagala nakoishi.
Hahaha! Mi napenda wakali na wakorofi lakini nakuvulia kofia we chiboko lol!
 
Haya sasa, wenye wake mmesema sana sasa ni zamu yetu wenye madem. Napenda dem wangu anavyo shangaa nnapo mfanyia supriseee....
 
mimi napenda mpenzi wangu awe mtundu kwangu kwa utani sana na awe msikivu nikimwambia hapana kwenda tembea basi asiende
 
1. MWAMINIFU
2. Si mlevi
3. Si Mvuta sigara
4. Kama nimekosea sipend kugombezan mbele za watu, sitak kbs

5. Asiwe na Gubu
Etc..
 
1. MWAMINIFU
2. Si mlevi
3. Si Mvuta sigara
4. Kama nimekosea sipend kugombezan mbele za watu, sitak kbs

5. Asiwe na Gubu
Etc..
hiyo kugombezana mbele ya watu ni point kubwa sana,huwa nachukia sana kuaibishwa mbele ya watu
 
Back
Top Bottom