Kitu gani kinakufanya umpende mpenzi wako zaidi?

Mi nampendea jinsi anavyonijali, anavyonipenda, anavyonisikiliza, mnyenyekevu, haogopi kuniambia chochote na kikubwa zaidi anamwogopa mungu. Kwa jinsi alivyo ninapomkosea naona simtendei haki. I will always love my babe.
 
Mi nampendea jinsi anavyonijali, anavyonipenda, anavyonisikiliza, mnyenyekevu, haogopi kuniambia chochote na kikubwa zaidi anamwogopa mungu. Kwa jinsi alivyo ninapomkosea naona simtendei haki. I will always love my babe.....
 
''nawapenda sana wapenzi wangu kwa sababu............!!

Nilitegemea kuona sentensi nyingi zikiwa katika hiyo format!
 
nakipenda kidumu changu kwa sababu kinanipa raha zote duniani.kina uzuri wa asili,tabia nzuri na kinamcha mungu
 
Back
Top Bottom