kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
kwi kwi kwi!! elimu za kata zinawafundisha nini nyie vijana ?hivi hilo neno hapo juu lina maana gani?Ina maana wewe umesoma chuo ambacho kinaongoza kuwa na tayila wa kufa mtu.Kwani UDSM kuna kipi cha ajabu.Kuna mwanasheria yeyote hapo UDSM ambaye ametunga sheria kama siyo kutungwa na Bunge ambalo linawatu wengi ambao hawakuwai soma sheria just form 4 to form and 6.
yupo mwanasheria mmoja aliyesimamia kutunga sheria !!! anaitwa samweli sitta!