Kitivo cha sheria UDSM aibu kwenu

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Kitivo cha sheria UDSM wameadhimisha miaka 50 lakini ni aibu tupu.Leo kupitia TBC 1 kipindi cha This week in Perspective kinachoendeshwa na Adam Sembaye.
Kilichonishangaza kuwa panels ambaye amewawakilisha wanafunzi ni Mganda(ugandan) Peter Kamya duh!Sasa nimejiuliza amekosekana mwanafunzi wakitanzania kuja hapo na kuongelea mada hiyo.WATANZANIA TUNAJIAIBISHA WENYEWE tutakuja hata kuwaita waje watuongoze.
 
Mkuu watanzania wameogopa kwenda coz BBC aka COM not reachable lol kingeleza wito wazeee
 
msisahau wapo watanzaniani ni heads of faculties huko Rwanda,Botswana,Sychells nk sioni ubaya kwa hili

Kwahiyo unataka kutuambia mtanzania ambaye anasoma Botswana anaweza kuwawakirisha Wabotswana kwenye media kuongelea uhuru wa Botswana?Ebu vaa uzalendo na ustaarabu katika hili.Mimi siyo mbaguzi lakini kuna wakati unafanya positive dicrimination mfano kama katika tukio hili la kihistoria.Alafu mimi angalau nimekaa na waganda ambao hawawezi kukubali kama wewe siyo raia ukaongelea mambo ya nchi yao.
Mkaribishe mgeni mpaka kitandani na uvunguni.AIBU FOL UDSM.
 
Hawana Aibu si Wanakitivo wao pia walisaini mikataba upande ya wawekezaji kama vile Dowans hawakusoma sheria walifuata utamu wa pesa

Wagonjwa toka kuondoka kwa Wakongwe kama Issa Shivji, Mgongo Fimbo Sheria ni kama kapu
 
Nyie ndo mnatumia masaburi kuongea msichokijua.kwa taarifa zenu ni kwamba kitivo cha sheria kinachukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu tu kwenye matokeo ya form six.na kwasasa kuna watu wapo nondo kwenye kingereza kuliko mnavyodhani.peter kaenda kama mwanafunzi na kiongozi wa wanafunzi na sio kama mganda!acheni ubaguzi usio na maana! Aligombea uongozi na akachaguliwa kutokana na sera zake na sio uraia wake!kama huna cha kuchangia ni afadhali ubaki kimya.
 
Kingeleza kigumu
Kitivo cha sheria UDSM wameadhimisha miaka 50 lakini ni aibu tupu.Leo kupitia TBC 1 kipindi cha This week in Perspective kinachoendeshwa na Adam Sembaye.
Kilichonishangaza kuwa panels ambaye amewawakilisha wanafunzi ni Mganda(ugandan) Peter Kamya duh!Sasa nimejiuliza amekosekana mwanafunzi wakitanzania kuja hapo na kuongelea mada hiyo.WATANZANIA TUNAJIAIBISHA WENYEWE tutakuja hata kuwaita waje watuongoze.
 
Kwahiyo unataka kutuambia mtanzania ambaye anasoma Botswana anaweza kuwawakirisha Wabotswana kwenye media kuongelea uhuru wa Botswana?Ebu vaa uzalendo na ustaarabu katika hili.Mimi siyo mbaguzi lakini kuna wakati unafanya positive dicrimination mfano kama katika tukio hili la kihistoria.Alafu mimi angalau nimekaa na waganda ambao hawawezi kukubali kama wewe siyo raia ukaongelea mambo ya nchi yao.
Mkaribishe mgeni mpaka kitandani na uvunguni.AIBU FOL UDSM.
kilichokuwa kinaongelewa ni uhuru wa TZ au miaka 50 ya kitivo cha sheria?naomba nijuze mkuuu mimi sijakiona hiki kipindi.
 
Nyie ndo mnatumia masaburi kuongea msichokijua.kwa taarifa zenu ni kwamba kitivo cha sheria kinachukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu tu kwenye matokeo ya form six.na kwasasa kuna watu wapo nondo kwenye kingereza kuliko mnavyodhani.peter kaenda kama mwanafunzi na kiongozi wa wanafunzi na sio kama mganda!acheni ubaguzi usio na maana! Aligombea uongozi na akachaguliwa kutokana na sera zake na sio uraia wake!kama huna cha kuchangia ni afadhali ubaki kimya.

Ndo tatizo la kuwa mzuri kukalili na kutapika mwalimu aliyofundisha(memorize). Uwezi kutuambia kuwa huyu Mganda anajua matatizo ya kisheria yaliyo kwenye nchi hii ya Tanzania kuliko mwanafunzi wakitanzania.Huyo anapajua Omurushaka,Nzega,Namutumbo,Ipogolo,Itahwa,Kabale kuwa hawana mahakim.
Does he know the Legal Culture of Tanzania,anaijua bodi ya mikopo ilivyoundwa kisheria etc
Nyie ndo walewale ukizaa mtoto handcapped unatupa au unamfungia chumbani kusudi wageni wasimuone.
Ukisema FOL wanachukuwa walifauru vizuri unamanisha nini?FLO UDSM AIBU KWENU NA KWA TAIFA.
 
nyie mliosoma vyuo vya kata mna matatizo sana.kuna watu wako marekani wanafahamu system ya sheria ya tanzania kuliko A.G wetu
 
  • Thanks
Reactions: mka
nyie mliosoma vyuo vya kata mna matatizo sana.kuna watu wako marekani wanafahamu system ya sheria ya tanzania kuliko A.G wetu

Ina maana wewe umesoma chuo ambacho kinaongoza kuwa na tayila wa kufa mtu.Kwani UDSM kuna kipi cha ajabu.Kuna mwanasheria yeyote hapo UDSM ambaye ametunga sheria kama siyo kutungwa na Bunge ambalo linawatu wengi ambao hawakuwai soma sheria just form 4 to form and 6.
 
kilichokuwa kinazungumzwa ni miaka ya kitivo au uhuru wa tanganyika?
kama ni kitivo cha sheria na jubilee yake
anybody can represent so long anajua historia ya kitivo cha sheria
yawezekana ni kiongozi wa UDLS ana haki hiyo sijui unachopinga ni nn
Mm niko nchi za watu huku na nimeshahudhuria matamasha na mikutano kuwakilisha kitivo na chuo ninachosoma sasa mm ni mzawa???
nimesomahapo UDSM kitivo cha sheria nakielewa vema ndugu
acha ubaguzi wa kijinga usiokuwa wa kisomi

Back
Top Bottom