Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

Zakumi,
I would like to hear your take on what we simple people of Tanzania are supposed to do to do away with this corrupt inefficient system we have. Doing nothing in no option.

Kuna mambo mengi naweza kusema lakini kwa sababu ni shughuli hapa kubeba mabox, nitachagua moja na lililo simple. Ningewaambia kuwa hile katiba iliyoipa Tanganyika uhuru mwaka 1961, katika zawadi zote tulizopata kwa wakoloni na wahisani ilikuwa one of the best if not the best of the best.
 
Kuna mambo mengi naweza kusema lakini kwa sababu ni shughuli hapa kubeba mabox, nitachagua moja na lililo simple. Ningewaambia kuwa hile katiba iliyoipa Tanganyika uhuru mwaka 1961, katika zawadi zote tulizopata kwa wakoloni na wahisani ilikuwa one of the best if not the best of the best.
Kwa hiyo tuirudie hiyo katiba na kila kitu kitakuwa mswano?
 
Kwa hiyo tuirudie hiyo katiba na kila kitu kitakuwa mswano?

Nikiangalia Pakistani na India. Pakistani walihamua kufanya experiments zao, mpaka sasa bado wanatafuta effective government.

India ambao hawakubadilisha sana katiba na taratibu za bunge naona wamefanya mambo mengi.
 
Huyu wakati wake ndio rushwa imechipuka na kuota mizizi sasa anataka kuchonga, yeye mwenyewe inatakiwa achunguzwe, mali alizojilimbikizia zimetokana na mshahara na marupurupu yake tu? aueleze uma, mali zake kazitowa wapi?
kitine katumwa na magufuli awachanganye watu kwani hujui Serikali ya sasa inajiendesha kwa propanganda za matukio?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
- Mkulu wangu Mpitanjia, hold on right there, Membe hakumkandamiza Kitine no yeye alisema ukweli tena against his boss kumbuka wakati huo Kitine alikuwa his boss kule uwt, lakini kwa ushujaa Membe stood up na kuweka ukweli wazi kwamba mke wa Kitine hakuwa mgonjwa wala hakwenda kwa madakitari kule Canada, alikuwa anafanya shopping na hela zetu za kodi ya wananchi na akatoa ushahidi ndio kwa mara ya kwanza Kitine aka-back off na kulazimishwa kujiuzulu.

- Kama sio Membe, Kitine tayari alishaweza kuizima hii ishu kienyeji enyeji, akisaidiwa na rais Mkapa, sasa kama ameamua kuwa mkweli basi aruhusu sheria ichukue mkondo kwenye wizi wa mkewe, au?
Ni vigumu kwa magufuli kumchukulia sheria kitine kwa sababu ndiye kamtuma aje kuwachanganya watanzania
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kikaragosi kingine kinachotumika na nduli wa Ikulu. Timu vikaragosi msiba, ndugai, bashite, tulia na vinginevyo vingi.

Katumwa na mkulu awakoroge watanzania kisha magufuli aseme uhuru wa kutoa maoni upo
 
Back
Top Bottom