Kitenzi cha neno "mdahalo" kwa Kiswahili ni nini?

Si kila nomino inaweza kubadilishwa kuwa kitenzi. Sarufi ya kiingereza ni tofauti na kiswahili. Ndio maana unapata ugumu kupata kitenzi kwakuwa unalazimisha kutumia maelezo ya kiingereza kufafanua kiswahili. Tumia ufafanuzi wa Pasco unaweza toa mwanga kidogo.
 
Back
Top Bottom