Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,448
- 11,415
- Thread starter
- #21
Inatia shaka sana.Misri ya al sisi sio yakuiamini hata sekunde tatu yaani
Hawa Usikute yeye na israhell lao moja hawa wajinga
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu yaaani maana ndio lugha pekee wanayo ielewa magaidi ya kizayuni
Hizi juhudi yawezekana kama kwamba anawatayarishia mazingira bora Israel aweze kupiga Rafah na kupunguza lawama kwa Israel kama wakiingia Rafah kwamba hawkuua watu wengi.
Yawezekana siku ikifika kabla ya Ramadhani kuingia Misri atafungua geti watu wajikushaje hapo anapojenga halafu Israel ikiridhika haikupata kitu Misri itawarejesha wapalestina upande wa Gaza.
Misri inasahau kuwa taifa la kiyahudi halina ahadi wala ukweli.Mipango yao yote ni njama.Akishapiga Rafah hataondosha majeshi yake atadhibiti mpaka kama alivyowahi kusema Netanyahu na kitendo hicho itakuwa imewafungia wapalestina wote na kuwa chini ya amri zake.
Israel kwa kutumia pesa kutoka Marekani itaanza kujenga makuta na seng'enge kuwatenganisha wapalestina kama inavyofanya kule ukingo wa Magharibi.