Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,832
Tulia dogo, Kama taifa hatuoni shida na chochote kile Robert Amsterdam na kundi lake la mashoga na mabeberu watasema, tunachojari ni kutoruhusu vijana wetu ambayo Wana mtindio wa ubongo kupokea maelekezo ya kifedhuri kuvunja Sheria na sisi kulazimika kuwaumiza vijana wetu Hawa! Tutaendelea kuwalinda vijana wetu wasiojitambua wasijefanya wasiyatambua!Wame restrict App Store kwa sababu wanajua ndio site inayo kuwezesha ku-down free VPN apps - tunaiga mbinu za Uchinà na Korea Kaskazini pamoja utawala wa Stalin!
If my memories serves me right katika chaguzi za 2015 hapakuwepo na mambo ya ajabu kama haya - Uongozi wa awamu ya NNE haukuwahi ku-muzzle media hata siku moja, sasa kwa nini chaguzi za safari hii ndio pawepo na ulazima wa ku-restrict raia wasipate taarifa kutoka kwenye alternative sources, kwani mnafikiri Watanzania hawana akili za kuchambua baina ya pumba mchele?
Zoezi la kufungia social media hata kama ni temporarily limetia DOA Taifa letu linaonekana hali heshimu haki za binadamu - maadui wetu wanaweza kutumia loop hole hii kutuharibia sifa kimataifa, sasa tunafahidika nini kwa kuwapatia maadui zetu ammunition za Ku demonise Taifa letu?
Pia kumbuka uchaguzi wa 2015 tulikuwa hatujaletewa msukule wa mabeberu live Kama ilivyo Sasa kwa Kuwa tulikuwa hatujayakanyaga maslahi yao! Ulinzi wa nchi yetu ni muhimu kuliko maneno yao!