Kitendo anachofanya mkuu wa mkoa Kagera Bw. Mongela ni cha kihalifu

Sex Orientation is an enduring pattern of romantic or sexual attraction (or a combination of these) to persons of the opposite sex or gender, the same sex or gender, or to both sexes or more than one gender.

Labda ulitaka kusema Sex, after all tumshukuru kwa taarifa tuzifanyie kazi.

Mimi ni muafirka halisi, sex orientation ziko 2 tu ! ke na me, hadithi za intermediate sex orienations ni za wazungu.nimeishi nao miongo kadhaa,lakini upuuzi huu nimewaachia wenyewe.
 
Kuishia kulalamika sio suluhisho kusanyeni ushahidi fungueni kesi ya jinai kwani chadema hakuma wanasheria??
 
Mimi ni muafirka halisi, sex orientation ziko 2 tu ! ke na me, hadithi za intermediate sex orienations ni za wazungu.nimeishi nao miongo kadhaa,lakini upuuzi huu nimewaachia wenyewe.

Sasa tumia kinyamwezi, dunia imebadilika sana.
 
Mbona mleta mada umesema ni Bi Mongela ina maana hata mkuu wa mkoa hujua jinsia yake je tutaamini vipi na haya uliyoyaandika kama umekosea maana pia hakuna hata ushahidi. Hebu rekebisha pale kwenye title halafu weka na source

Sorry ni Bw. Mongela
 
Source ni mimi mwenyewe. Kama huamini acha. Lakini nikisema source ni mimi mwenyewe utaelewa. Kumbuka alikuwa akizungumza na watu na si mmoja.

kwa hiyo ulikuwepo kwenye mkutano, lakini ukashindwa kujua huyo ni mwanaume?do you take us for pigeons or what?hebu tuheshimiane japo kidogo ndugu.
 
I am speechless. Kama hizi habari ni kweli basi wenzetu sio watu, ni vioja.

Ila kama viongozi wakuu wa ccm walimpandisha cheo Kamuhanda kwa "kazi nzuri" aliyofanya ya kusimamia mauaji ya Mwangosi, basi wadogo zao hawawezi kuacha kupanga mauaji.

Ila ni Mongela yupi anaweza kuwa shetani hivi? I pray that it's not Getrude. Simfahamu RC wa Kagera. Hivi JK alimwondoa Masawe pale Kagera ili aweke shetani?
Huyu ni mtoto wa Getrude anaitwa John Mongela. Kabla ya kwenda Kagera alikuwa mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini na kabla alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini. Huyu kijana ni mnyenyekevu na mpole ila ni kada kindakindaki wa CCM. Pamoja na hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu siamini kama kayanena maneno hayo.
 
Umenena Kabisa Mkuu. Hata mi mwenyewe nilishikwa na butwaa nikajiliza huyu mleta mada hii vipi ...amelewa nini? Bi? Mbona anataka kudhalilisha jinsia ya jamaa...hata kama ana matatizo lakini jina lake ni John Mongela na sio Bi Mongela! I hope atarekebisha maana naona kama amekurupuka bila ya kuhakiki hata jina na jinsia ya mtu anayemtuhumu.

Ni kweli nilikosea. Ni Bw na sio Bi.
Natumia jf kwenye IOS hainipi option ya kuedit heading! Mod wanisaidie.
 
Huyu ni mtoto wa Getrude anaitwa John Mongela. Kabla ya kwenda Kagera alikuwa mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini na kabla alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini. Huyu kijana ni mnyenyekevu na mpole ila ni kada kindakindaki wa CCM. Pamoja na hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu siamini kama kayanena maneno hayo.

Mnataka kuamini yakitokea maafa? Haya jamani sitaki kulazimisha watu kuamini lakini nataka tahadhali kubwa iwepo dhidi ya uhalifu. Na uhalifu hauangalii cheo! Nawaogopa sana wana siasa hawa. Hivi watanzania tumelogwa? Ninalopinga ni siasa za chuki na kihalifu anazojaribu kupandikiza Kagera.
 
Tuhuma hizi ni nzito sana kuziamini bila ushahidi, kusema sorce ni wewe mwenyewe hakutoshi kutuamonisha unayoyasema...By the way kikao cha CCM tena makada we BAVICHA ulihisika vp?? Unachokiandika kina reflect kilichomo kichwaniwako...Achana na siasa za maji taka, concentrate kuijenga Chadema kisera na si kiumbea na uzushi...siku njema
 
Mbona hata JK alishawashangaa waccm kuwa wapole kiasi hicho akiwataka wafanye anayoagiza huyu bwana. Interahamwe hizi....
 
Huyu ni mtoto wa Getrude anaitwa John Mongela. Kabla ya kwenda Kagera alikuwa mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini na kabla alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini. Huyu kijana ni mnyenyekevu na mpole ila ni kada kindakindaki wa CCM. Pamoja na hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu siamini kama kayanena maneno hayo.

Mnataka kuamini yakitokea maafa? Haya jamani sitaki kulazimisha watu kuamini lakini nataka tahadhali kubwa iwepo dhidi ya uhalifu. Na uhalifu hauangalii cheo! Nawaogopa sana wana siasa hawa. Hivi watanzania tumelogwa? Ninalopinga ni siasa za chuki na kihalifu anazojaribu kupandikiza Kagera.

Mkuu shida yangu nimkwamba siamini kama John kayatamka hayo maneno kama ulivyowasilisha hapa. Akiwa kama mkuu wa Mkoa na kama ulivyosema ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama hivyo ana dhamana nzito ya Mkoa. Siamini kwamba atawakusanya Makada kibao na kwenda nao pale Linas, hadharani, na kuyasema hayo uliyoyasema.

Shida yangu ni sawa na ya huyu wa ukwee

Tuhuma hizi ni nzito sana kuziamini bila ushahidi, kusema sorce ni wewe mwenyewe hakutoshi kutuamonisha unayoyasema...By the way kikao cha CCM tena makada we BAVICHA ulihisika vp?? Unachokiandika kina reflect kilichomo kichwaniwako...Achana na siasa za maji taka, concentrate kuijenga Chadema kisera na si kiumbea na uzushi...siku njema
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kaa la Moto, asante kwa habari hii.
Tukumbushane tu kuwa katika Tanzania tunayoipigania na Mzee Warioba kesha tuandikia 'Dibaji' ni kuwa kuna baadhi ya nafasi za kipuuzi ambazo hazitakiwi kuwepo kwenye vyeo vya serikali, mojawapo ni Mkuu wa mkoa.
Ni suala la muda kidogo sana hawa watakuwa wanawakilisha labda marafiki zao au NGO lakini sio Watanzania.
 
Allegation ya kwanza ni nzito mno bila ushahidi ... Sheria ya mtandao itakuhusu

Kaka hiyo sheria haiwezi ku implemented Bongo, Believe me.

Wabongo ni watu wa kubwa bwaja tu hakuna vitendo na wala hawana mtambo wowote mkuu..., kama BVR zimewatoa jasho wataweza hii kitu mzee?
 
Tuhuma hizi ni nzito sana kuziamini bila ushahidi, kusema sorce ni wewe mwenyewe hakutoshi kutuamonisha unayoyasema...By the way kikao cha CCM tena makada we BAVICHA ulihisika vp?? Unachokiandika kina reflect kilichomo kichwaniwako...Achana na siasa za maji taka, concentrate kuijenga Chadema kisera na si kiumbea na uzushi...siku njema

Ukipenda amini usipopenda acha. Ni kwa faida ya usalama wako tu.
Nani kakuambia mimi ni Bavicha? Umebugi step.
mwambie kada mwenzio aache siasa za uhalifu maana hizi sio siasa za maji taka.
Unanishauri nijenge chadema ambayo plan ni kuwaua wanachama na viongozi wake? Tusichezee amani yetu! Na nawashauri wote waliopewa maelekezo hayo na Bw Mongela wayapuuze kwa kuwa amani yetu ni muhimu kuliko siasa ovyo.
Baba unaweza kuwa CCM mtoto akawa Chadema.
Kijana unaweza kuwa Chadema na ndugu yako mwingine akawa CCM.
Sasa nani amuue mwingine? wawezaje agizwa kuchoma nyumba ya jirani yako na wewe ukakubali? Rai yangu tuwapuuze wahalifu hawa. Amani kwanza vyama baadaye.
 
Mkuu shida yangu nimkwamba siamini kama John kayatamka hayo maneno kama ulivyowasilisha hapa. Akiwa kama mkuu wa Mkoa na kama ulivyosema ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama hivyo ana dhamana nzito ya Mkoa. Siamini kwamba atawakusanya Makada kibao na kwenda nao pale Linas, hadharani, na kuyasema hayo uliyoyasema.

Shida yangu ni sawa na ya huyu wa ukwee

Mkuu wangu Kimbunga
Kama ulivyosema na kama nilivyosema ni vigumu sana kuamini mambo haya. Na wengi walimshangaa.
Lakini kama unavyojua viongozi wetu ambao ni viongozi wa serikali cum makada wa chama wanaoamini nchi hii ni mali yao hawana aibu kutamka maneno haya na hasa anapowambia wanachama wenzie. Daima wanaamini kila mtu atafurahia. Hata hivyo ni uhalifu.
Sihitaji kulazimisha watu kuamini lakini kukitokea maafa ndio tuamini?
Tutumie nafasi hii kuwaonya na kuwakatalia wahalifu.
Wale wanaotaka niwambie nilikuwepo au sikuwepo wajue source ya habari ilikuwepo kwenye kikao hicho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom