kitanda chEtu kinapiga kelele wakati wa shuguli

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
wakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???
 
kifanyie ukarabati, kama vipi nini weka godoro chini (sakafuni)!
 
nunueni kinginge. Kitanda cha kawaida kabisa mnaweza kupata kwa laki moja, so for the sake of your starehe and peace of others, changeni 5o kila mmoja. All the best.
Ila maswali mengine are not worth asking!
 
....Huyu Piddy maswali mengine anayouliza kuna sehemu anayatoa.

Kama hili swali la kitanda kinachopiga kelele lipo kwenye kitabu cha MAJIBU KWA NDOA YAKO, hichi kitabu tumekinunua pale msimbazi center kwenye semina ya maandalizi kwa wale wanaoingia kwenye ndoa.

Kwa hiyo Piddy maswali yako ni mazuri na wengi wanajifunza hapa,ni vizuri kuweka na source ili wanaoweza kupata wakatafute.
Be blessed.
 
Huwa mnafanya mapenzi mkiwa mmesimama au mkirukaruka kama mbuzi?
Hicho kitanda kimechakaa sasa, nunua kingine?
 
nunueni kinginge. Kitanda cha kawaida kabisa mnaweza kupata kwa laki moja, so for the sake of your starehe and peace of others, changeni 5o kila mmoja. All the best.
Ila maswali mengine are not worth asking!
Sikutaka kuchangia lakini umenikonvis,hiyo red imenishangaza,mke na mume wachangie 50/50? kwani hawana mfuko wa pamoja au malengo/mipango ya pamoja ili kuonyesha umoja wao? au mmoja wapo hawezi nunua? Wachange kwenye ndoa?,mmoja kama hana ina maana atadaiwa na akipata amlipe mwenzie? Hivi ndoa zote zipo hivo jamani?
 
Yaani sikutaka kujua situation yao ya maisha ikoje, nani kati yao ana mfuko mnene nani hana, so solution ya haraka kwa tatizo ili lisolviwe haraka ni kwa kila mmoja kutake initiative,maana yawezekana kila mmoja anamtegea mwenzie. 50/50 sounds fair! Whats wrong kuchanga kweneye ndoa? si kila mtu anaweza kuwa na kipato chake, na kama mnataka kujenga au kununua gari au kufanya investment what is the easiest way? sio kupull resources together? Na huu ndo umoja sasa, kuhakikisha hakuna anayeonewa, lakini hakuna mahali niliposema asienacho adaiwe, haya ni makubaliano tu!
Kuna ndoa zingine mwanaume ndo anafanya kila kitu, zingine wanachangia, na mara chache kukuta mwanamke anafanya kila kitu, so whatever fits you as a couple. hakuna uniform way of doing things. so, si ndoa zote zipo hivyo. Naakaribisha swali lingine Zd.
 
na nyie acheni ubahiri kanunueni kitanda kitakachowafanya muwe huru kujibinua katika style zote mnazotaka bila bugudha
 
Yaani sikutaka kujua situation yao ya maisha ikoje, nani kati yao ana mfuko mnene nani hana, so solution ya haraka kwa tatizo ili lisolviwe haraka ni kwa kila mmoja kutake initiative,maana yawezekana kila mmoja anamtegea mwenzie. 50/50 sounds fair! Whats wrong kuchanga kweneye ndoa? si kila mtu anaweza kuwa na kipato chake, na kama mnataka kujenga au kununua gari au kufanya investment what is the easiest way? sio kupull resources together? Na huu ndo umoja sasa, kuhakikisha hakuna anayeonewa, lakini hakuna mahali niliposema asienacho adaiwe, haya ni makubaliano tu!
Kuna ndoa zingine mwanaume ndo anafanya kila kitu, zingine wanachangia, na mara chache kukuta mwanamke anafanya kila kitu, so whatever fits you as a couple. hakuna uniform way of doing things. so, si ndoa zote zipo hivyo. Naakaribisha swali lingine Zd.

Pengine mimi ni matatizo ya kiswahili sielewi vema Carmel,Kuchanga sikatai ila nilidhani the best way ni mipango ya pamoja.Namaanisha kuwa wanandoa lazima wawe na mipango yao short-term,long -term hata ermegencies.Na kwa vile hiyo Mipango mingi mara nyingi solution yake ni pesa basi ni muhimu kuwa na Akaunti maalumu ya familia kwa masuala kama hayo.mwisho wa mwezipengine mtasema,mama unapata 1m na baba laki2,basi katika ile akaunti mama atatoa laki 9 na baba laki moja,then zikichanganywa ndo mnanunua hiko kitanda.
Vinginevyo kwa mawazo yangu lakini ,kama mnasubiri hitaji lije ndio mnaanza kuchangishana ni tatizo na linaondoa ule umoja wenu.
 
Kama mke wako anafurahia hari hiyo, angalia sana kama hatakuwa anapenda kugawa uroda hadi nje ya ndoa basi atakuwa mapepe sana au anapenda kuwarusha roho majirani zenu na huwa anapenda kuwatambia wanawake wenzake hapo kwenu. Yawezekana pia ndie anaetafuta mafundi ili wakiregeze ili aweze kufurahia na kuwarusha roho mwengine. Weka CCTV kamera ndani uweze kugundua anaekiregeza.
 
Kuna mtu alikuwa katangaza vitanda vya kuuza hapa JF...tafuta hiyo thread ununue kutanda cha maana!
 
kwakweli hukutakiwa hata kidogo kutuelezea situation ya kitanda chenu ni mambo ya aibu sana,si bora ulale kwenye mkeka?kwani mkeo hakufundwa kama ilivyo mila za kiafrica?aliekwambia mapenzi ni kitandani tu nani?UMENISIKITISHA SANAAAAAAAAAAA
 
huyu pdidy asipokopi stori za mapenzi kwa shigongo au kwokwote huwaga hana constructive threads
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom