Kitanda cha VONO!

Mkuu!
Unavikumbuka vya aina hii nini?
IMG_4061.JPG

Hii mambo mnanivunja mbavu sasa. Hivi hapa si mitaa ya Korogwe kwa Mh. profesa Maji marefu(Mb) hapa?. Bado vinatumika au hii ni archive ya kumbukumbu za mambo ya kale?
 
attachment.php
IMG_4061.JPG


Jamii Forums ni hazina kuu ambayo hutoa chemchemi zisizokauka.

Paka Jimmy umenirudisha mbali maana hii tukikumbuka historia ya wengi ndiyo inayowapumbaza wengi kutojua wapi tulikotoka na akina nani wangali bado katika hali hii.

Vitanda vile vya vono hasa mashuleni vilisaidia kwa uimara wake, kwani kila mwanafunzi anapohitimu ile middle school, Upper primary school, au sekondari huiachao vono na hali ile ile na freshman wanaikuta vono kana kwamba ndo mpya anaizindua ukitilia maanani kule home kaiacha ile vono ya kamba za mibang na katanii au mikanda ya ngozi ya mifugo, aka makida makida.

Paka Jimmy anyway umenipa kumbukumbu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom