Kitabu cha Kachero aliyetekwa Uganda kinapatikana wapi ?.

Hata mimi nimemwandikia ujumbe mfupi mhusika kwenye namba ya simu iliyowekwa kwenye gazeti jana, lakini hajanijibu.
 
wadau stories sijaisoma kwa wiki mbili npo kijijini nimekosa gazeti... kwenye kuweza kunipa update afanye hivyo.
 
Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani.
Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia.

Cha Kiingereza:10,000/=
Cha Kiswahili :15,000/=

Unatumiwa kwa email.

Pm,
Kwa mawasiliano.
Acha uchoyo, anayetaka kitabu cha The Partnership aweke Email yake atumiwe bure!!
 
Heshima sana wanajamvi,

Gazeti la Raia mwema limekuwa likichapisha makala ya Kachero wa jeshi la wananchi (JWTZ) aliyetekwa Uganda pamoja na wanajeshi wengine wawili ambao waliuwawa na majasusi wa Idd Amin kabla ya vita vya Kagera.

Nimekuwa nikifuatailia sana makala hizo kila Jumatano gazeti la Raia Mwema linapotolewa bahati mbaya kila nikimaliza kusoma naachwa na kiu kubwa kiasi naomba siku ziende haraka ili niweze kusoma makala zingine.

Natoa rai kwa wachapishaji wa gazeti la Raia Mwema kutuelekeza wapi tunaweza kupata nakala ya kitabu badala ya kuendelea kututesa na kutuacha na kiu isiyokuwa na sababu za msingi.

Nawasilisha.

Ungeweza kuisoma yote hata katika tovuti Yao ila wamefanya makosa sana kumpa sijui MTU gani awafanyie marekebisho, matokeo yake ameharibu kabisa, hakuna mahali pa kusearch!
 
Heshima sana wanajamvi,

Gazeti la Raia mwema la leo tarehe 12/10/2016 ukurasa wa tatu wametoa taarifa kitabu sasa kipo mtaani lakini nadhani mitaani kwa maana ya Dar huku Arusha bado wapenzi na wasomaji walioko Dar watusaidie.

Nawasilisha.
 
Heshima sana wanajamvi,

Gazeti la Raia mwema la leo tarehe 12/10/2016 ukurasa wa tatu wametoa taarifa kitabu sasa kipo mtaani lakini nadhani mitaani kwa maana ya Dar huku Arusha bado wapenzi na wasomaji walioko Dar watusaidie.

Nawasilisha.
Tunasubiria!
 
Wakuu heshima sana,

Kitabu "Mateka mpaka" sasa kipo mtaani bei ni tsh 15,000/=@ kwa anayekihitaji anaweza kuwasiliana na wahusika katika maeneo yafuatayo.

Dar - 0787 408 986
Arusha - 0784 480 066
Mwanza - 0765 649 735
Musoma - 0754 663 998
Tabora - 0754 397 891
Kigoma - 0715 624 225
Moshi - 0719 510 072
Tanga - 0754 469 495
Moro - 0713 788 869
Mbeya - 0754 891 019
Iringa - 0764 961 520
Singida - 0757 101 575
Mtwara - 0687 664 474
Bukoba - 0758 274 733

Kitabu Mteka mpakani pia kinapatikana nchi jirani ya Zanzobar 024 2231048 hata code number zake ni tofauti na Tanganyika.

Source Raia mwema 19/10/2016
 
Wakuu heshima sana,

Kitabu "Mateka mpaka" sasa kipo mtaani bei ni tsh 15,000/=@ kwa anayekihitaji anaweza kuwasiliana na wahusika katika maeneo yafuatayo.

Dar - 0787 408 986
Arusha - 0784 480 066
Mwanza - 0765 649 735
Musoma - 0754 663 998
Tabora - 0754 397 891
Kigoma - 0715 624 225
Moshi - 0719 510 072
Tanga - 0754 469 495
Moro - 0713 788 869
Mbeya - 0754 891 019
Iringa - 0764 961 520
Singida - 0757 101 575
Mtwara - 0687 664 474
Bukoba - 0758 274 733

Kitabu Mteka mpakani pia kinapatikana nchi jirani ya Zanzobar 024 2231048 hata code number zake ni tofauti na Tanganyika.

Source Raia mwema 19/10/2016
asante mkuu ngogo kwa update
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom