Kitabu cha Kachero aliyetekwa Uganda kinapatikana wapi ?.

Kweli kabisa mkuu wangu,naweza kusema pasipo shaka Kitabu kitafanya vizuri.Baada ya kuangaika bila majibu nimefanya mawasiliano na mkuu wa habari za kichunguzi amekiri simu za maulizo ya kitabu ni nyingi sana na kitabu kipo katika hatua za mwisho kutoka labda mwezi September.NB Nimefanya mawasiliano kupitia namba za simu zilizopo katika safu ya wakurugenzi ukurasa wa nane Gazeti la Raia Mwema.
Ngongo,
Ahsante kwa taarifa.
 
Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani.
Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia.

Cha Kiingereza:10,000/=
Cha Kiswahili :15,000/=

Unatumiwa kwa email.

Pm,
Kwa mawasiliano.
 
Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani.
Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia.

Cha Kiingereza:10,000/=
Cha Kiswahili :15,000/=

Unatumiwa kwa email.

Pm,
Kwa mawasiliano.

Tunazungumzia kitabu cha Jasusi aliyetekwa Uganda na si kitabu cha Jumbe sana haja nacho hata kidogo.
 
Mwezi September ndio huu sijui bado hakijatoka Raiamwema wanatuacha na kiu kubwa kila ukisoma unataka kujua nini kitatokea.
 
Kama ni hivi Rai Mwema watangaze Dau wanataka bei gani...waliyotaka kukusanya kutokana na kuchapisha kitabu hiki...tuchangishane tuwalipe; ili kutuondolea kero hii.

Raiamwema wanatuchosha kweli kweli.
 
Hapa nadhani itabidi tusubiri kipindi kitakapotoka tukichangamkie...!
Yaani nimeingia ile link yenye sehemu ya tatu kutoka gazeti la Raia Mwema...yaani nimesimamishwa na lile neno la itaendelea ...!
Vipi hawajasema bei itakuwaje na wapi kitabatikana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom