Kitabu cha ECOMICS kimetoka, kinauzwa.

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Wanajanvi, kwa heshima nawasalimu wote.
Nimekuwa nikiandaa kitabu cha somo la economics kwa adanced level muda mrefu. Nimeanza kwa kutoa HANDBOOK of Economics Today ambapo mpaka sasa, kimekamilika na nimeprint.
Kitabu kina topics za ENVIRONMENTAL ECONOMICS na PRIVATIZATITION. Bei ni sh. 2000 kwa nakala.
Waalimu na wamiliki wa shule zenye michepuo na somo la ECONOMICS, tafadhali, tuwasiliane kwa

email; dr.andersonds@yahoo.com
phone: 0767 122662,
0654 047387
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom