Kisutu: Mahakama yatengua ushindi wa Diwani wa Kata ya Saranga-Kimara(CHADEMA)

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Diwani Kinyafu ametenguliwa udiwani wake baada ya kushindwa kesi ya uchaguzi.

Kasoro kadhaa zimeonekana kwenye kuhesabu kura. Asema atakata rufaa.

Kata ya Saranga ipo Kimara katika Halmashauri ya Kinondono - Dar
13432308_1713036332270307_340777368832799923_n.jpg
 
Diwani Kinyafu ametenguliwa udiwani wake baada ya kushindwa kesi ya uchaguzi.

Kasoro kadhaa zimeonekana kwenye kuhesabu kura. Asema atakata rufaa
Mkuu habari haijakaa sawa. Je ni Diwani wa Kata na Chama Gani anatokea Halmashauri ipi?
 
Diwani Kinyafu ametenguliwa udiwani wake baada ya kushindwa kesi ya uchaguzi.

Kasoro kadhaa zimeonekana kwenye kuhesabu kura. Asema atakata rufaa.

Kata ya Saranga ipo Kimara katika Halmashauri ya Kinondono - Dar

Naona mhakimu wako busy kuwaondoa wagombea wa upinzani tu.Lakini wa CCM hawaguswi.Inashangaza
 
Mkuu habari haijakaa sawa. Je ni Diwani wa Kata na Chama Gani anatokea Halmashauri ipi?
Saranga ipo halmashauri ya Kinondoni,jimbo la uchaguzi la Kibamba sijui huyo diwani wa chama gani
 
Wamemuoneaaaaaaaa..Yeye ndioo aliyeongoza kwa.kura nyingi sana kuliko Hata ya Rais wabunge ..waliahirisha Mara ya kwanza aliposhinda uchaguzi ukarudiwa tena Akashinda..Kabla yeye ndio Diwani Wa kulee Saranga toka Saranga ni toka CHADEMA
 
Diwani Kinyafu ametenguliwa udiwani wake baada ya kushindwa kesi ya uchaguzi.

Kasoro kadhaa zimeonekana kwenye kuhesabu kura. Asema atakata rufaa.

Kata ya Saranga ipo Kimara katika Halmashauri ya Kinondono - Dar
Ukitaka kuamini jinsi tunavyo ichukia CCM waje kati waone kama watapata hata kura 2, na tena hatuna sukari,na mwendo kasi njooni kati muone sasa.
Tuliza ball uone tutakcho wafanya hawa kwenye sanduku la kura..
 
hawezi pata uahindi wa mezani kama amesema kasoro nyingi za uhesabuji zilikuwepo, hapo uchaguzi utarudiwa na huyo diwani wa ccm ataaibishwa vibaya na wapiga kura
Ikiwa ni kurudia uchaguzi hata akienda magu kufanya kampeini hawezi kuambulia kitu na hicho kitu kiti kitaendelea kubakia CHADEMA
 
Kama uchaguzi unarudiwa ukawa kama kawa tena tutafanya kampeni ya kitaifa kuhakikisha ushindi Wa asilimia 90
 
Ukitaka kuamini jinsi tunavyo ichukia CCM waje kati waone kama watapata hata kura 2, na tena hatuna sukari,na mwendo kasi njooni kati muone sasa.
Tuliza ball uone tutakcho wafanya hawa kwenye sanduku la kura..
Unataka kutwambia kuwa hata wakichakachua haitasumbua?
 
Back
Top Bottom