Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

Big up makonda kalinde maslahi ya ccm tubayoimini sis vijana kuijenga na maadili ya taifa tulitakalo. Simamia misimamo dhabiti na maadili tuyatakayo.

mbweha nyie hii nchi mnajua mmetokanayo kwenye matumbo ya mama zenu kitaeleweka safari hii na mjiandae ku.n.ya povu.
 
Kichwa cha habari kimeshajieleza, WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA. Hapo huwezi kujiuliza maswali magumu tena.

Zainabu Amir Gama wa bara na kaolewa na Gharib Bilal Zanzibar, je Julius Mtatiro naye ana malengo ya kuolewa Zanzibari?
 
Pamoja na kwamba Uteuzi wa makonda una maanisha kwamba anaungwa mkono na JK lakini inatakiwe ifahamike kwamba JK mwenyewe YUPO HUKU NA HUKU , mara nyingi amekuwa kigeugeu !
 
WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (14)
1. Dr. Christina Mnzava2. Paulo Christian Makonda
3. Jesca Msambatavangu
4. Julius Mtatiro
5. Katherin Saruni6. Abdallah Majura Bulembo
7. Hemedi Abdallah Panzi8. Dr. Zainab Amir Gama
9. Hassan Mohamed Wakasuvi10. Paulynus Raymond Mtendah
11. Almasi Athuman Maige12. Pamela Simon Massay
13. Kajubi Diocres Mukajangwa14. Kadari Singo
Jamani yupi katika orodha hii anatokea CHADEMA? maana hao niliowawekea RED - CUF na BLUE - CCM .
Umemsahau No.3. Jesca Msambatavangu ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa.
 
Political reward,akitokEa chizi yoyote akitetea CCM lazima upate promotion kwa hio tutegemee mazuzu wengi tu ndani ya CCM
 
Kijana Makonda kweli ana guts!! kawatukana viongozi wote wa dini mbili kuu Tanzania kuwa wote ni ombaomba!! eti wanaomba misaada kutoka kwa mhe Lowassa!! na mhe Malecela kamuunga mkono -----ndivyo tuleavyo watoto wetu kana kwamba hakuna miiko, kule kuchaguliwa tena kuwa mbunge kwenye bunge la katika yaonyesha kuwa taifa linaekea kubaya kuhusu malezi ya watoto.

Kawatukana au kawaambia ukweli? Hivi unahitaji hadi uwe na roho mtakatifu ili ujue Lowasa anatoa hela chafu kama misaada na lengo lake ni kujijenga kisiasa ili aje kugombea urais? Cc wote ni binadamu kuwa kiongozi wa dini haina maana kuwa wewe ni malaika au mtakatifu sana kiasi uwe untouchable, kifupi viongozi wa dini kwa case hii ya Lowassa wamejiaibisha na alichowaambia Makonda wanakistahili na si matusi kwao.
 
Wiki moja iliyopita Mh. Makonda alifanya mkutano na Waandishi wa Habari na kusema maneno mazito sana kuhusiana na mbio za Urais 2015, wakatokea Viongozi wengi waliomjibu kwamba amekosea na wengine wakaamuunga mkono kuwa yupo sawa jana Rais wa Jamhuri amemteua kwenye Bunge la Katiba,

Maana yake inaweza kuwa nzito sana depending na nani anaisoma hii situation, ila kwa maneno rahisi sana bila kuchanganya habari ni kwamba Rais ankubaliana na maneno ya Makonda kwenye ule mkutano wake na waadishi, au mnasemaje?

FMES - Wazeee Wa Sauti Ya Umeme.

Sioni kama kuna haja ya kujiuliza kama kijana Makonda anakubalika au hakubaliki. Kama ulitaka kujua hilo kutoka kwa JK, basi jibu umeishalipata.
 
Inabidi tufungue thread zaid ya 201 ikiwa kila alieteuliwa tunamjadili!?

Ok who is makonda!?

mtukanaji mzuri; hana radhi ya wazazi ''''''' si ajabu anaweza akawa waziri wa kuteuliwa kwa kwakuwa ni jasiri wa kutukana baba zake;;;;;; hana adhabu
 
Kijana Makonda kweli ana guts!! kawatukana viongozi wote wa dini mbili kuu Tanzania kuwa wote ni ombaomba!! eti wanaomba misaada kutoka kwa mhe Lowassa!! na mhe Malecela kamuunga mkono -----ndivyo tuleavyo watoto wetu kana kwamba hakuna miiko, kule kuchaguliwa tena kuwa mbunge kwenye bunge la katika yaonyesha kuwa taifa linaekea kubaya kuhusu malazi ya watoto.

Hamna lolote.. Alichofanya makonda ni kuwaambia ukweli, hajawakosea heshima, labda tu cha kujiuliza ni kafanya hivyo kwa maslahi ya nani na nani alomtuma.
 
Mmiliki halali wa ID ya FIELD MARSHALL ES ambae alitumia ID hii kumtukana Kikwete na serikali yake, ameamua kumwachia mtu mwingine kuitumia ili kujaribu kujisafisha, lakini nakwambia husafishiki, tangu lini KIMBA likasafishika likawa safi, once KIMBA, always KIMBA.
 
Uko sahihi mkuu ujumbe umewafikia akina mgeja waliodhani dogo kakosea. Kumbe mkuu amelizia.
 
Mtu ambae kwa kutumia ID feki anaweza kumchamba baba yake mzazi kwa kuanika hadharani orodha ya mahawara wa baba yake na kutaja hadi mtaa na nyumba ambayo baba yake alikuwa anakwenda kufanya uzinzi, mtu Huyu hawezi kuwa na radhi za baba yake na hata radhi za Mungu pia.
Ni bora arudishe tu ile ZeUtamu yetu tuendelee kula uroda, kuliko kuadhirika kila siku, kukosa radhi ya baba ni hatari sana.
 
Hakuna Jipya alilofanya JK Kwa Paul Makonda tunalotarajia kwa uteuzi huu, Nimwendelezo tu wa Uswahiba "Ni kama kusema UMEROPOKA IPASAVYO niliyotaka Kuyasema mwenyewe" Basi njoo huku nawe ule BATA zaidi ya ulivyowala juzi na jana.
NI HIVYO TU BANDUGU.
 
Wiki moja iliyopita Mh. Makonda alifanya mkutano na Waandishi wa Habari na kusema maneno mazito sana kuhusiana na mbio za Urais 2015, wakatokea Viongozi wengi waliomjibu kwamba amekosea na wengine wakaamuunga mkono kuwa yupo sawa jana Rais wa Jamhuri amemteua kwenye Bunge la Katiba,

Maana yake inaweza kuwa nzito sana depending na nani anaisoma hii situation, ila kwa maneno rahisi sana bila kuchanganya habari ni kwamba Rais ankubaliana na maneno ya Makonda kwenye ule mkutano wake na waadishi, au mnasemaje?

FMES - Wazeee Wa Sauti Ya Umeme.
Aliemteua huyo dogo ndie anadhihirisha kuwa ni ze comed
 
Back
Top Bottom