Kisa cha Mkuu wa Mkoa Rwegasira kuondoa makahaba Dar es Salaam

Vp mashoga au wasagaji wakiridhiana ...nayo sio zambi?
Hiyo sio kiasili

Kuna mtu anaumia kwa raha ya mmojawapo, ni kinyume na upendo.

Mashoga husababishiana upungufu wa kinga mwilini.

Ni sawa na mtu kujiua ni kinyume kabisa na asili na mpango wa Mungu. Na ushahidi wake kibaiolojia upo dhahiri. Kukosa utii kwa Mpango wa Mungu ni dhambi
 
Back
Top Bottom