Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,058
Umejibu sawa sawa. Hivyo basi hana shaka na nitakachofanya mwaka 2030, na dhambi nitakazokuwa nazo wakati nakufa? Si ndio?Mungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.