Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Anajua predestination kwa ajili yako na anajua mwanzo hadi mwisho. Anajua unavyofanya sasa, anajua ulivyofanya kabla na anajua utakavyofanya siku zijazo.
Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?
 
Mungu hakukuumba ili umkosee soma mwanzo uelewe lengo la wewe kuwa duniani..Pia Biblia inasema Mungu hawezi jaribu mtu kwa uovu na yeye hajaribiwi na kitu chochote
Nimekuuliza wewe muamini.
Mungu anajua mwanzo na mwisho wa kila kitu. Ikiwa ina maana hata alipomuumba Eva alijua atandanganywa na nyoka ambaye kamuumba yeye pia, halafu Eva atadanganyika amshawishi Adam ambaye naye kamuumba yeye, halafu watende dhambi. Alijua hili au hakujua?
 
Unajifanya una akili nyingi za kujenga hoja uchwara?

Wewe mzoga unayesubiri kifo unaweza kujadili nini kuhusu nguvu iliyoumba Mbingu na nchi?

Unapumua na kujamba, unatuchafulia oxygen ambayo hujui hata imetoka wapi halafu unajifanya una akili timamu?
 
Unajifanya una akili nyingi za kujenga hoja uchwara?

Wewe mzoga unayesuburi kifo unaweza kujadili nini kuhusu nguvu uliyoumba Mbingu na nchi!

Unapumua na kujamba tu pwiiih pwiiihh kwa raha zako, unatuchafulia oxygen ambayo hujui hata imetoka wapi!
Ukimaliza kutukana jibu maswali yangu maana kutukana hakujatoa majibu otherwise na wewe umeunga tela kwa jambo ambalo hulielewi ndio maana huna majibu.
 
Anakuona wewe ukiwa unafanywa. Anajua unavyofanya na anajua utakavyofanya. Hivyo wewe unachagua na yeye anakuona ukichagua.
Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi

Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?

Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
 
Ukimaliza kutukana jibu maswali yangu maana kutukana hakujatoa majibu otherwise na wewe umeunga tela kwa jambi ambalo hulielewi ndio maana huna majibu.
Tulia wewe maiti unayesubiri kifo!

Na huo udongo utakutafuna mpaka ubaki vumbi ili ujue kweli hii dunia imewekwa na HAIJAJIWEKA.

Endelea kula popcorn na kuvuta oxygen!
 
Tulia wewe maiti unayesubiri kifo!

Na huo udongo utakutafuna mpaka ubaki vumbi ili ujue kweli hii dunia imewekwa na HAIJAJIWEKA.

Endelea kula popcorn na kuvuta oxygen!
Sote tutatafunwa na udongo huo ni uhakika tulionao.
Lakini hujajibu nilichouliza kwasababu hata wewe huna majibu maana hata huelewi unachokiamini ndio maana huwezi kukitetea zaidi ya kubweka bweka tu.
 
Nimekuuliza wewe muamini.
Mungu anajua mwanzo na mwisho wa kila kitu. Ikiwa ina maana hata alipomuumba Eva alijua atandanganywa na nyoka ambaye kamuumba yeye pia, halafu Eva atadanganyika amshawishi Adam ambaye naye kamuumba yeye, halafu watende dhambi. Alijua hili au hakujua?
Yote haya Mungu aliyaona huyo Eva, nyoka na Adamu walivyoamua. Aliliona tukio hili kabla na aliliona lilipofanyika na alilitafutia suluhisho.

Yote haya yalikuwa maamuzi ya hao viumbe. Alichotaka Mungu walikijua na wakaamua kuasi.
 
So kumbe aliumba hivi viumbe vyote akijua kuwa vitamkosea? Akajua mwisho wake utakuwaje?
Na hapa ndipo swali langu lilipo. Kama anajua mwisho wako ni huu, ina maana hauwezi kubadilika ukaenda tofauti na mwisho anaoujua yeye. Sasa hiyo freewill ina maana gani? Au anawezaje kutegemea ubadilike uende tofauti na mwisho anaoujua?
Hilo likitokea basi atakuwa sio mjua yote.
 
Back
Top Bottom